ubovu wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi watishia kugoma kudai lami, wachoshwa na ubovu wa barabara

    Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto. Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
  2. uchumi2018

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara Kisukulu Maji Chumvi - Segerea ni kero kubwa

    Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano. Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara ya Mombasa kwa Mkolemba

    Ukitazama barabara ya Mombasa kwa mkolemba jimbo la ukonga utajiuliza yu wapi Jerry Slaa mbunge wa jimbo la Ukonga?. Upo wapi mheshimiwa mbunge au unasubiri 2025 tena uje na porojo hewa kwetu sisi wananchi tunaotaabika kwa ubovu wa barabara ya Mombasa, Moshi bar, Kwa Mkolemba, Kanyigo, Mwembeni...
  4. Matope

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara kipande cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama unaenda Changanyikeni

    Wajameni kwa kweli nimeona nilete hii hoja hapa angalau inaweza fanyiwa kazi. Kutoka geti la Chuo Kikuu Dar es Salaam kama unaenda Msewe kwenda geti la kutokea kama unaenda Changanyikeni katikati au jirani na School of Education. Kuna mashimo mawili ni kama choo. Gari zinapita upande mmoja tu...
Back
Top Bottom