Habari wana JF, kuna siku niliwahi kuleta changamoto yangu juu ya ubovu wa barabara ya kutoka Chelesi – Kisiwani (zamani Kibedange) Halmashauri ya Mji Makambako.
Kiukweli barabara ni mbovu sana hasa kwa nyakati hizi ambazo mvua inanyesha, tunapitia nyakati ngumu sana katika kupita hiyo njia...
Tanzania inakaribia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, huku ikikabiliwa na changamoto kubwa za miundombinu, hasa barabara. Hali hii inatishia maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na inahitaji umakini wa hali ya juu ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa ufanisi. Barabara zetu nyingi zimeharibiwa, zikiwa...
ccm, Samia na machawa wenu iwafikie taarifa kuwa barabara nyingi za lami kuunganisha mikoa na wilaya zimechakaa!
Mifano michache ni barabara za Arusha mjini! Ongezea barabara kuu inayounganisha mikoa ya Manyara, Singida na Ngeza!
Kutoka Utegi kwenda Shirati kule Rorya ukirejea salama hujaumwaa...
“Napenda kutoa ufafanuzi kuhusu clip ya video ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha mgonjwa akibebwa ktk machela na kupelekwa hospitali na inaelezwa kuwa huo ndio utaratibu wa wilaya ya Kilolo, yani kwamba ktk eneo lile wagonjwa siku zote hubebwa ktk machela kupelekwa...
Wananchi wa Kijiji cha Andikoni, Shehia Chumbageni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba walazimika kuwabeba wagonjwa wakiwa kwenye vitanda katika mabega kutokana ubovu wa barabara ili kupata Huduma za Afya.
Wakizungumza na HalisiMediaOnline, baadhi ya Wananchi wamesema wanapitia wakati...
Gari ya Polisi iliyokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari, Marryprisca Mahundi ikiwa inanasuliwa baada ya kukwama kwenye tope katika kijiji cha Kimala Misale Kata ya Dutumi wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani kutokana na ubovu wa barabara.
Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti.
Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua...
Wakuu,
Kwakweli hatutakiwi kuwachekea na kuwaonea huruma hawa wabunge, wasiotimiza tunachohitaji wananchi, wanataka tusiwahukumu, ili tuendelee kuteseka huku wao wanateleza na matumbo yao.
====
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, amewataka wananchi wa Buchosa...
Barabara ya Mbezi Makabe ( Kwa Pesapesa) Jijini Dar es Salaam ina ubovu wa kiwancho cha juu sana
Jiulize watoto wanaendaje shuleni, wafanyakazi wanaendaje kazini?.
Mbunge wake akiwa bungeni utamsikia akisema anataka picha ya Rais Samia kwenye noti. BLADFAKENI kabisa!
Fikiria Mkoa huu Una mkuu...
Habari wanajukwaa. Leo nimekuja mbele yenu kuleta mada ihusiyo ubovu wa Barabara ya mwandege-mkuranga. Barabara hii ni muhimu kwa mikoa ya kusini kutoka Dar.
Kwa kweli barabara hii imejaaa makorongo na mabonde( tunaweza hata kufugia samaki). Kadhia tunayopata wasafiri wa njia hiyo ni kubwa...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
Daaah! Hii nchi bhana, katika pitapita zangu nimeibukia maeneo ya Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe.
Halmashauri ya Wilaya hiyo imefanikiwa kujenga Stendi mpya ya mabasi eneo la Forest lakini kinachoendelea hapo hakina afya sana kwa watumiaji, kwani miundombinu mingi ni mibovu.
Kulikuwa na...
Nilipita jana barabara hii, kipande cha kutoka Endasaki mpaka ufike Dareda Barabara Kuu ya Singida Babati, kwa kifupi ina mashimo mengi na makubwa sana jambo ammbalo ni hatari kwa watumiaji wa barabara hiyo hasa kwa madereva wageni na nyakati za usiku.
Mamlaka tatueni tatizo hilo, ni keri sasa...
Wakuu
Wananchi wa Arusha walifunga barabara kwa mawe wakipinga hali mbovu ya miundombinu, huku wakimtaka kiongozi wa TARURA, Vickey Chisoma, aseme ukweli kuhusu changamoto hiyo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Wananchi wa Mtaa wa Tegeta A katika Kata ya Goba wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wameandamana mpaka ofisi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tegeta A, wakitaka ufafanuzi juu ya sababu zinazopelekewa Barabara ya Tegeta A- Goba Mpakani kubaki kuwa mbovu, licha ya ahadi walizoahiriwa mara...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta amesema wameiona video clip iliyopostiwa na Mtangazaji wa Clouds media Khan Mbarouk siku mbili zilizopita inayoonesha ubovu wa barabara na msongamano wa magari katika barabara kuu iendayo mikoa ya kusini mwa Tanzania...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange amewataka wataalam wanaosimamia miundombinu ya barabara kufanya kazi kwa haraka na kukamilisha kwa wakati ili wananchi wapate huduma.
Mh. Twange ametoa maelekezo hayo katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua changamoto mabalimbali za wananchi ...
Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, ilijengwa bure?
Nani alikuwa mkandarasi, nani alitoa hela, nani alikagua, nani alikabidhiwa nk. Nafikiri kwa sasa moja ya barabara muhimu sana na za kimkakati kwa uchumi wa nchi ni hii barabara...
Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari tunaomba tusaidiwe barabara. Hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua. Watoto wanaenda shule kwa tabu maji na matope ya kutosha.
Wanakwenda na School bus zinaishia mbali kwasababu ya ubovu wa barabara. Ahadi zimekuwa nyingi bila utekelezaji...
Wanajamvi huyu Mkurugenzi amekuwa kimya kwa ubovu wa Barabara Nanga-Migato haswa haswa eneo la darajani karibu na kanisa la Roma, eneo hili limekuwa kikwazo kikubwa sana kwetu wafanyabiashara tunaosafirisha Mizigo na mazao gari inaweza kukwama hata kwa siku 2, ajabu ni kuwa Mkurugenzi mbali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.