uboreshaji daftari la kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    PreGE2025 Fid Q: Kadi yako ya Kupiga Kura itakuwezesha kupiga Kura ili umpate kiongozi ambaye ni chaguo lako

    Staa wa Hip Hop Nchini, Fid Q anazungumzia zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura kwa kusema Kasi ya Kupiga Kura ni muhimu na inakupa uhuru wa kumchagua kiongozi unayemtaka na hiyo inamaanisha unaamua maisha yako ya sasa na ya baadaye. Anasema unaposhiriki Kupiga Kura...
  2. Roving Journalist

    PreGE2025 Ludovick Utouh: Huwezi kushiriki katika Uchaguzi kama huna kadi, nenda kajiandikishe

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh amezungumzia umuhimu wa Wananchi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura: Kujiandikisha ni zoezi la Kikatiba, ni Haki yako wewe Mwananchi kuchagua Viongozi unaowataka...
  3. Roving Journalist

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Sitaki kumwambia Mtu kajiandikishe, kama ana imani na Mfumo wetu wa Uchaguzi akajiandikishe, kama hana basi aache

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt Benson Bagonza anazungumzia mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Kila Mtu anatakiwa kujihoji kisha amuulize Mungu baada ya hapo atafanya maamuzi, Mwaka 2024 nilipogundua Watu...
  4. Nguruka

    PreGE2025 Tume ya Uchaguzi yafafanua wanaojiandikisha zaidi ya mara moja mkoa wa Dar

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amefafania madai ya uwepo wa wawtu mkoani Dar es Salaam wanaojiandikisha zaidi ya mara moja. Ndg. Ramadhani Kailima amebainisha nini Tume hufanya baada ya Uboreshaji kukamilika na mwisho wa siku Daftari liliso na watu waliojirudia kutoka...
  5. desmond JJ

    PreGE2025 Uandikishaji wa wapigakura Dar es Salaam tuongezeeni mashine na nguvu kazi vituo vinazidiwa

    Bwana Kailima umeiona nyomi ya watu wa Dar? Nawapongeza mmeweka mashine nyingine vituoni safari hii. Ila hazitoshi tunakaa sana foleni halafu mwezi mtukufu huu shehk. Fanyeni hata mashine tano tano kila kituo hizi tatu zinazidiwa. Dar sio sawa na mikoani
  6. RoadLofa

    Kwanini PDF za majina ya walioitwa kwenye usaili wa uboreshaji wa daftari la wapiga kura yanafichwa

    Tanzania ni nchi ngumu sana kuishi kwa watu wanaojielewa yaani ukitafuta majina ya walioitwa kwenye usaili wa uboreshaji wa daftari la wapiga KURA mwaka huu kwenye website nyingi za halmashauri mbalimbali nchini utakutana tu na barua ya watu kuitwa kwenye interview tu na Hautokuta pdf yenye...
Back
Top Bottom