Ubalozi wa Norway unatoa pole za dhati kwa wote walioathirika na matukio ya hivi karibuni nchini Tanzania.
Tunaungana na familia na jamii zilizopoteza wapendwa wao na pia na wale wote wanaokabiliana na changamoto za kipindi hiki kigumu. Fikra zetu ziko pamoja nanyi, na tunaheshimu kumbukumbu za...
Wakili Massawe: Huwezi kuwa na uhuru kamili kama vyombo vya habari havipati uhuru huo
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe amesema kuwa ilitarajiwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu vyombo vya habari vitakuwa huru zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.