ubaharia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwandende

    JamiiForums Tanzania TASAC na DMI kipengele cha cheti cha form 4 cha kazi gn kwenye kusoma ubaharia?

    Zamani ubaharia hapa kwetu Tanzania ilionekana ni kama kazi za hovyo,,wasomi wengi hawakukimbilia kusoma ubaharia,,,na hata wazazi wengi hawakupenda watoto wao wasome ubaharia ,, Sijajuwa kwa sasa nini kimetokea sijuwi ni ugumu wa ajira au ni vipi, sasa kuna wimbi kubwa sn la vijana wanawake...
  2. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Bro, timiza unayoyaweza , Dunia wala haipo Kasi ni walimwengu tu

    Salaam jamiiforum. Ni April 19 leo mwaka 2026, Siku zinakimbia, yaani bado siku kadhaa tu iadhimishwe siku ya wafanyakazi,bado wiki chache kufikisha nusu mwaka. Ama kweli siku hazigandi. Cha ajabu maisha ni kama yamesimama ,mishe hazisogei,mipango haitimii, anyway kila kitu kina wakati wake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi U.A.E ya ubaharia niliyotafutiwa na shangazi

    Wakuu hope salama, polenii na majukumu ya kulijenga taifa na familia kwa ujumla. Dhumuni la kuandika huu uzi ni namna now navyojiskia, ilikuwa mwaka 2018 baada ya kumaliza chuo nikiwa kitaa sina mchongo nikapata taarifa kuwa kuna kampuni ipo Abu Dhabi inahitaji wafanyakazi wa kwenye meli yani...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wanawake wahimizwa kujifunza Ubaharia

    VIJANA wa kike wameshauriwa kujiunga na masomo ya ubaharia, ili kuziba pengo la uhaba wa jinsi ya kike katika sekta ya Uchukuzi. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya Ilemela, Hassan Masala, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wakati akihitimisha maadhimisho ya siku ya mabaharia duniani leo...
Back
Top Bottom