ubadhirifu na ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    PostGE2025 Hali ya sintofahamu kijiji cha Nanjirinji A, Kilwa, Wananchi waandamana kupinga ubadhirifu na ufisadi unaofanywa na viongozi wa kijiji

    Hali ya sintofahamu kwenye kijiji cha Nanjirinji A Halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Wanakijiji wamegomea mkutano wa kijiji wakipinga Ubadhirifu unao fanywa na viongozi wa kijiji Mwenyekiti na Mtendaji. Madai ya wanakijiji hao Uongozi wa kijiji umeuza mali, mashamba ya kijiji na kuhujumu miradi...
  2. R

    Baltasar Engonga akabiliwa na kifungo cha miaka 18 kwa Ubadhirifu na Ufisadi, Equatorial Guinea

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha la Equatorial Guinea, Baltasar Engonga Ebang, amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh milioni 230 za serikali Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari nchini humo, Engonga alijipatia Sh milioni...
  3. BLACK MOVEMENT

    Je, Abdul ndio anataka kuinunua Mount Meru Hoteli baada ya Impala Hotel?

    Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount Meru, na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli iliyokuwa inamilikiwa na Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli tena. Kijana ana ukwasi wa kutisha sana ndani ya miaka mitatu tu hii.
Back
Top Bottom