Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA , ameondoka nchini humo leo Jumanne kwenda Ubelgiji huku akisema “sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu.”
Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe Makamu Mwenyekiti.
Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama.