Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema nia yake ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 iko palepale.
Tundu Lissu ameyasema hayo leo, Julai 26, 2024 katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipowasili...
Ukiniuliza kwa nini muziki wa Reggae hauna vibe siku hizi jibu ni moja tu, dunia ya sasa hivi hakuna ukoloni wala ubahuzi wa rangi.
Aina hiyo ya muziki ilikuwa kwa ajili ya ukombozi, sasa kama hakuna ubaguzi wala ukoloni unamuimbia nani.
Hawa niliowataja ingekuwakipindi cha kudai uhuru...
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons
lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na...
Wakuu,
Mwananchi wa kawaida kutoka fyengelezya niliyejitolea kuchanga kiasi kidogo cha pesa ili kufanikisha kununuliwa gari jipya aina ya V8 la kutembelea mheshimiwa Tundu Lissu kwa gharama ya Tsh 300m nina haya ya kuuliza;
° Mpaka sasa imekusanywa kiasi gani?
° Kwanini hatupewi taarifa ya...
Wakati fulani Mwigulu Nchemba alikana kumiliki timu ya soka na kusema yeye hamiliki hata bajaji.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amemuumbua na kusema alikuwa anaimiliki Singida BS na kuiuza na sasa anamiliki Ihefu SC.
Wadau humu tumekuwa tunauliza, sio dhambi kumiliki mali lakini kwa...
Binafsi pamoja na mapungufu ya Awamu ya tano ambayo baadhi ya wanasiasa wanakiita kipindi cha giza, bado naamini ndio kipindi ambacho mambo mengi ambayo yalionekana magumu yalianzishwa na sasa yanakamilika tunaona manufaa yake.
Hawa watu niliotaja wana sifa zinafanana sana na hayati Magufuli...
Chadema walikuja kwa madaha wakidai kuwa "Sasa Mbowe na Lissu watapanda Chopper moja na kwenda kufanya mikutano Kanda ya Kasikazini.
chaajabu mpaka Sasa ni wiki inakata Lissu haonekani Singida Wala Tanga"
Vipi au mitifuano ndani ya chama Inaendelea?
Nitumie fursa hii kumshauri ndugu Lissu...
1. Sijamsikia akisema lolote kuhusiana na kijana kutekwa, kupigwa risasi, na kutupwa Katavi National Park. Labda hajasikia au imekumbusha machungu ambayo hajapata nguvu ya kuzungumza hadi akae sawa. Nilitegemea kusikia akiongelea hili kwa sababu, ni kweli yeye alipigwa risasi ghafla na alihisi...
Mbulu Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=uk9uB6KJSR0&pp=QAFIAQ%3D%3D
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara taifa kamanda Tundu Lissu ametoa angalizo kuwa uchaguzi wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025...
Yale ya 2020 yakirudiwa tena 2025 nchi itakuwa katika hatihati kwani wananchi hawatakubali...
Dunia kwa sasa inhitaji watu wenye uwezo kama Tundu Lissu.
Dunia kwa sasa inahitaji watu wenye akili kama Tundu Lissu
Tanzania kwa sasa inatmhitaji watu wenye uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo kama Tundu Lissu.
Tanzania sasa tunahitaji watu wazalendo, wapenda amani, wapenda maendeleo kwa...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa kauli za kutaka kukigombanisha chama hicho tawala na wananchi, asema CHADEMA hawana hoja zaidi ya...
Hakuna namna Lissu hataki siasa za maridhiano za Mbowe na kwenda kulia lia kwa wakubwa wa Dunia baada ya kujitoa pale rafu zinapokithili. Lissu anasema ukiteuliwa na Chadema ukajitoa au maafisa uchaguzi ngazi za vijiji na kata wanaoishi nao au polisi wakishiriki kuiba kula itakuwa halali yao...
We kila mkutano wako unashambulia Wabunge mara ulie kuwa kuna watu wanakuwinda mara sijui Mwigulu kafanya hivi, mara umedakia kwa Mpina, wananchi wanataka wakusikie njia mbadala za kukuza uchumi wa nchi.
Je, wewe ukipewa nchi kwa mfano unawezaje kuwaletea wananchi maendeleo?
Tunajua duniani...
Hebu tuangalie halafu tusaidiane
Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi tuanze, amefungulia mlango.
Kila kata ya mkoa wa Singida imepewa pikipiki kulingana na idadi ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.
Mlale Unono 😃😃🔥
======
Freeman Mbowe akikanusha...
chadema
chadema wavurugana
chama cha demokrasia na maendeleo
freeman mbowe
lissu kuondoka chadema
mbowe na lissu hawapatani
mgogoro chadema
mpasuko chadema
operation karatu
tundulissu
Salaam,Shalom,
Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi.
TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
Nimefuatilia kwa karibu ziara ya Lissu mkoani Singida, kwa asilimia 96 amekuwa akiongea kwa kinyaturu wakati shughuli anayofanya ni rasmi iliyosajiliwa.
Mwanasiasa akiishiwa hoja hukimbilia katika ukabila.
Nashauri Tume ya uchaguzi, ili kujenga umoja wa kitaifa, ipige marufuku matumizi ya...
Salaàm!
* Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola.
* Kutoa, kushawishi ni jinai - sasa iweje ashawishiwe afu asitoe taarifa kwenye mamlaka za kidola?
Uzanzibari vs...
Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda...