tundu lissu

  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amesema kuwa yeyote mwenye macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za ovyo

    "Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu, Mwenyekiti CHADEMA. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Tutazuia uchaguzi kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano kama hakutokuwa na mabadiliko

    Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 MillardAyo amechapisha taarifa kuwa Tundu Lissu amesema 'No Reforms, No Election' haiwezi kufanikiwa

  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Kukaa na Wassira ni kupoteza muda, kama kuna la kujadili tutajadili na Samia

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yuko ITV akihojiwa na kipindi cha Dakika 45, Star Times wamekata matangazo

    Hii ni aibu sana kwa Star times, wamekata matangazo ya ITV ili WANANCHI wasione mahojiano kati ya Tundu Lissu na ITV kwenye kipindi cha Dakika 45. Wakati huo huo tbc wao wako hewani vizuri kabisa, hivyo basi, kama kwako matangazo ya ITV yamekatwa, ingia mtandaoni kwenye platforms za ITV Tanzania
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu na CHADEMA Plan B ni ipi ikiwa wananchi hawataingia barabarani kudai mabadiliko ya uchaguzi?

    Wakuu, CHADEMA imeamsha matumaini ya Watanzania hasa baada ya Lissu kupiga krosi moja matata na kuwa Mwenyekiti Taifa. Watanzania walioonesha kuchoshwa na uchawa, ubadhilifu wa mali za umma na mazonge mengine yanayotokea nchini wameanza kupata matumaini huenda mambo yatabadilika for good...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdude Nyagali: Lissu alipona ili atusaidie kupata Katiba mpya

    Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono. Mdude ameyasema hayo Februari 16, aliposhiriki ibada ya misa maalum ya kumuombea Lissu iliyofanyika kijijini kwao Mahambe...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anaumwa na amepelekwa Ubelgiji kwa matibabu

    WanaJF Nimekutana na taarifa hii huko mtandaoni. Je, ina ukweli wowote? Hali ya kiafya ya Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imeendelea kuzorota, hali iliyolazimu apelekwe nchini Ubelgiji kwa matibabu ya dharura. Kutokana na changamoto za afya...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Fukuza Uanachama hawa Team Mbowe, usimuige Magufuli Msaliti hasemeki; Hakuna adui mbaya kama wa nyumbani kwako

    Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe Kuna figisu zinapikwa chini kwa chini kutoka CCM na wanawatumia vibaraka wao kutoka CHADEMA ambao wengi wao ni...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yupo wapi Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati Devotha Minja? Haonekani kwenye mapokezi ya Lissu

    Wakuu nilitegemea maandalizi na mapokezi ya kumpokea mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu yangekuwa yanaratibiwa na mwenyekiti wa chama kanda ya kati Devotha Minja. Lakini atumuoni wakati hili ni eneo lake la kiuongozi kwenye chama. Je, Tundu Lissu amemtenga au bado Lissu ameshindwa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdude Nyagali aibukia Ikungi akutana na Tundu Lissu

    Mpigania Uhuru, Haki na Demokrasia Nchini Tanzania, ambaye idadi ya kukamatwa kwake na Polisi haihesabiki, Mdude Nyagali ameonekana Ikungi Mkoani Singida wakati wa Mapokezi Makubwa ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wawili hao waliteta kidogo namna watakavyoendeleza mipango ya Chama chao...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CCM ilistahili kupata wabunge 88 wa viti maalum wabunge 6 wa ziada wametoka wapi?

    Wakuu, Ndugu zangu Tlaatlaah johnthebaptist FaizaFoxy Lucas Mwashambwa na genge lenu bado mnaona Lissu 'anaropoka' au dawa ishaanza kuwaingia? :BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Ila kwa jinsi vyombo vya habari vinavyolipwa kumchafua Lissu sasa hivi mtakuwa mna mhaho wa hatari!:KEKWlaugh: =====...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu hana sera mpya, hatafanikiwa

    Mfano: Maalim alikuwa na kauli mbiu ya kuwakokomboa wazanzibar kutoka Tanganyika. Alieneza sera miaka karibu miaka 40 au zaidi. Sera ilipokolewa na wapinzani na ndani ya CCM ndio upinzani ukashika kasi. Yaliobaki ufisadi, kukuza uchumi ambapo alisema Zanzibar itakuwa ya neema. Hii iliwavutia...
  14. JamiiForums Tanzania Lissu, ukihutubia anza na matatizo yaliyopo eneo hilo ambayo ni kero kubwa kwa wananchi badala ya maneno ya hovyo hovyo, wananchi hawakuelewi

    Kwa mafano tatizo kubwa sana maeneo mengi ni:- 1. Huduma za afya na vifaa tiba, vituo vya afya havina hata x-ray au Ultrasound halafu wanapoteza fedha kununua magari ya mamilioni 2. Maji safi na salama eneo husika 3. Vifaa mashuleni na walimu na moundo mbinu 4. Wataalam wa afya vituo vingi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?

    Wakuu, Hivi wananchi watakubali kweli kwenda kulala barabarani ili kuipa pressure serikali ili kuzuia Uchaguzi usifanyike? Hizi njia anazotaka kutumia Lissu mbona zinaanza kutia shaka? Siku ya leo akiwa Ikungi Singida, Lissu amesema: "Tutazuiaje, kila mtu na ajiongeze. Ikungi hapa tukilala...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kukaa kimya kwa kauli 'Tutaingia barabarani" na hakuna kukamatwa kwa uchochezi. Tundu Lissu kashaiingiza Serikali kwenye mfumo

    Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu m/kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani. Ukinikamata yowe itapigwa dunia nzima.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru

    Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru. Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe. Amesema kuliko kufanya Uchaguzi katika mazingira haya ya sasa, Bora tarehe ya Uchaguzi isogezwe mbele kwani tarehe...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa mawe aliyokuwa anarusha Tundu Lissu leo Ikungi, imebidi tu wakate mtandao

    Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana. Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election. Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe kilaza wa mwisho lazima utamwelewa. Alikuwa anatoa na takwimu sahihi bila kusoma popote. Naona Simu...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Samia anaposema kazi iendeee maana yake kazi ya Magufuli iendelee. Hakutakuwa na Uchaguzi bila mabadiliko

    Tazama mapokezi ya Lissu Ikungi akielekea kufanya mkutano mkubwa nyumbani kwao Ikungi Singida Lissu Leo anapokelewa nyumbani kwao Singida ambapo atafanya mikutano kuanzia Manyoni, na kusalimia wananchi njiani Kisha mkutano mkubwa wa mapokezi ataufanya Stendi ya Ikungi. Kesho atapokelewa rasmi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…