tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Tundu Lissu ameingia kuiua CHADEMA, Chama kinaenda kuvunjika

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone

    Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka...
  3. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa specialisation katika taaluma ya habari: Balile amhenyesha Tundu Lissu katika kikao na wahariri, ambana vilivyo katika masuala ya sheria

    Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo. Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zungu: CHADEMA inaenda kuleta mgogoro kati ya raia na polisi

    Akiwa anachambua kauli ya No Reforms No Election, Zungu ambaye ni mchambuzi maarufu wa siasa nchini amesema na mtangazaji wa kipindi cha Morning Bantu cha ST Bongo amesema: "Kama walichokizungumza CHADEMA kitaenda kufanikiwa basi inaenda kuleta ugomvi kati ya raia na vyombo vya dola,kwasababu...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Lissu amesema wanasitisha msimamo wao wa no reform no election

  6. JamiiForums Tanzania Kwako Lissu; Kwenye public speeches na Live interviews kunahitaji Sanaa ya kuusema ukweli na kuepuka UKALI wakati usio sahihi ili kushawishi watu

    Hamjamboni wote! Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala. Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu. Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo. Hapa kuna...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Watumishi wa Umma hawatakiwi kusimamia Uchaguzi kwa vile ni Watumishi wa Rais

    Hivi ndivyo Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu alivyomuelisha Kada wa ccm Balile wa Jukwaa la Wahariri Lissu amedai kwamba Watumishi wa Tanzania wanawajibika kwa Rais na wanaweza kutimuliwa kazi na Rais wakati wowote akitaka wala bila kufuata sheria za Utumishi wa umma , na mtumishi huyo hana pa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 No reform no election Kauli mbiu inayothibitisha kuwa Chadema ya Mbowe sio sawa na Chairman Lissu. Lissu yupo kwa maslahi ya taifa

    Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio aliweka wazi kabisa. Sasa kwa nini mabadiliko yasifanyike ili tupate Chama ambacho kitawakomboa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu na hoja zake dhaifu dhidi ya Serikali

    Na Mwandishi Wetu – Songea Leo hii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameendelea kurudia madai yale yale yasiyo na mashiko kuhusu mfumo wa uchaguzi na usawa wa kisiasa nchini Tanzania. Katika mkutano wake na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Lissu alitoa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
  11. JamiiForums Tanzania Paschal Mayalla ni vyema atambue wanachodai CHADEMA sio ‘huruma ya Rais’ bali ni haki yao

    Wakuu nipo Live Jambo Tv namsikiliza Mheshimiwa Tundu A. Lissu Juu ya No reform no election akichambua kiundani matatizo ya kimfumo na kikatiba ya Mfumo wa uchaguzi na jukwaa la wahariri Tanzania. Kuna huyu ndugu Paschal Mayalla wakati WA maswali na majibu Kwa mh. Lissu ameuliza swali ambalo...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuwe na Tume ya Uchaguzi inayoshitakiwa ikikosea kwenye uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam "Utaratibu mzima wa kupiga kura umevurugwa na namna ya...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

    Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa

    Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Vyombo vya Habari havitendi haki kwa Vyama vya upinzani, vyote vinakuwa vya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini havitendi haki katika kuripoti masula ya Uchaguzi kwa vyama vikuu vya upinzani. Soma: Hali ya Vyombo vya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Mujibu wa Tundu Lissu, Majimbo Mapya hutengezwa kutoa fursa kwa watu fulani fulani nao wapate majimbo. Kama ni kweli basi tuna safari ndefu

    Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari. Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana. Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu mbali mbali nchini. Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema yapigilia msumari masharti ya kushiriki kwao, wakisisitiza 'No reform, no election'

    https://www.youtube.com/live/OFc_2MInLSo?si=01-pw3HvWrVbJbkX Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ametoa maoni yake kuhusu hali ya ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akisisitiza kuwa chama hicho kilikumbwa na majeraha makubwa wakati wa kampeni za...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Victor Makundi (UVCCM) azitaka Mamlaka za Kisheria kuchukua hatua dhidi ya Tundu Lissu kwa Kukaidi Katiba

    MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa kupitia mkoa wa Kilimanjaro, Victor Makundi amekitaka Chama cha Wanasheria nchini, Tume ya maadili ya Mawakili na Mahakama kuu kutomfumbia macho mwanachama wao Tundu Lissu anayejaribu kuipoka Katiba ya nchi madaraka yake na...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu na Heche wanatakiwa kuelimishwa protocal za mavazi. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka lakini kaivaa Heche badala ya Lissu

    Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka. Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa asivae tai nyekundu. Hili nalo mpaka mfundishwe?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…