tundu lissu atuhumiwa uasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    Live ya kesi ya Lissu waliokuwa wanafuatilia ni zaidi ya watu 10K alafu live ya harambee ya CCM walikuwa watu 500

    Mioyo ya watanzania imeanza kuamka sasa, hawafuatilii tena vitu visivyo na mbele wala nyuma Giza limeanza kuondoka, matongotongo machoni mwa watanzania hayakaliki tena, hadi saluni siku hizi wadada hawapigi tena umbea bali wanakaa na kumtazama jamaa aliebeba tumaini lao
  2. ELI COHEN

    Rob Amsterdam "Iwapo waendesha mashtaka na viongozi wengine watawezesha mateso ya kisiasa kwa Lissu, wanajiweka wazi kwa vikwazo vya kimataifa"

    Mwanasheria wa Lissu from X:
  3. Carlos The Jackal

    Jamhuri ihakikishe Lissu anafikishwa mahakamani bila visingizio kama "gari haipo" au "hakimu ana dharura."

    Hamna Sarakasi yoyote isojulikana inayotumiwa kama sehem ya mbinu ya Jamhuri kuwaumiza Upinzani. In fact CCM na Serikali yake mbinu zenu zoote zinajulikana . KESI YA LISSU LAZIMA IANZE TAREHE 24 /4 /2025 Pasipo na kisingizio chochote Cha Kipuuzi.
  4. Mindyou

    Akaunti za Freeman Mbowe zimedukuliwa? Kwanini hajapost chochote kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu? Ni kinyongo au gubu?

    Wakuu, Kuna yeyote amemuona Mwenyekiti wa CHADEMA aliyepita, Freeman Mbowe kapost chochote kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Nimetoka kwenye akaunti zake huko X na Instagram naona mara yake ya mwisho kupost ni mwezi Januari. Ina maana huyu baba hajasikia kwamba Lissu ametiwa...
  5. Mindyou

    Mashirika ya haki za binadamu na sheria Afrika Mashariki watoa waraka unaomtaka Rais Samia amuachie Tundu Lissu

    Wakuu, Sakata la Tundu Lissu kukamatwa na kuwekwa ndani kwa uahini limeendelea kuchukua sura mpya. Siku ya leo taasisi za haki za binadamu na sheria kutokea Afrika Mashariki yameungana na kutoa waraka wa pamoja wa kukemea na kulaani kukamatwa kwa Tundu Lissu. Waraka huo ambao umesainiwa na...
  6. Tabutupu

    Chadema 5-0 CCM kipindi cha kwanza

    Katika makosa ambayo ccm imewahi kufanya basi kosa la kimkamata tundu lissu wakati huu ni kosa baya sana. 1. Chadema imekuwa popula mara dufu kwa wananchi. 2. Chadema imekuwa popula kimatafa 3. tanzania imekuwa exposed kama nchi isiyo fuata demokrasia . 4.Kosa hili limefuta mazuri ya Rais...
  7. The Palm Beach

    PreGE2025 Wakili Rugemeleza Nshala: Serikali haina uhakika kama Tundu Lissu katenda kosa la uhaini au la. Wanaendelea kuchunguza, halipo mahakamani

    https://youtu.be/mzQEeiy4TjE?si=fkKNag_Pg0wJdYU_ ➡Kumbe Lissu ameshitakiwa kwa makosa matatu tu ambayo upelelezi wake umekamilika... ➡Kosa la "TREASON" ama "UHAINI" limewekwa "just by the way" tu kwa kuwa hata aliyeandaa shitaka hilo (serikali) naye anasema "bado hana uhakika" kwa kuwa...
  8. Mag3

    Habari za kukamatwa kwa Tundu Lissu zaenea duniani mithili ya moto wa nyika. Dunia yapigwa butwaa, kulikoni Tanzania!

    Tanzania's opposition leader Tundu Lissu arrested after rally | Africanews Tundu Lissu among Tanzania's top Chadema figures arrested in crackdown Tanzania clamps down on opposition rally, arrests leaders. tanzania-opposition-leader-tundu-lissu-arrested-at-rally-4996772 Tanzania arrests prominent...
  9. D

    PreGE2025 Hili ndilo shtaka la Tundu Lissu

    Weka maoni Yako. NB. Jamhuri inaweza kubadili, kuongeza au kurekebisha shtaka hilo kwa mujibu wa Sheria.
  10. chiembe

    PreGE2025 Kesi ya uhaini inaweza kuchukua miaka mitatu mpaka minne, hii ya Lissu inaweza kufika 2029

    Kesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere. Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025...
Back
Top Bottom