tundu lissu aachiwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi wa 18 akwamisha kesi yaahirishwa hadi Agosti 17, 2026

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kutokana na changamoto za kiafya alizopata shahidi wa 18 aliyepaswa kuanza kutoa ushahidi leo Ijumaa. Jana, shahidi wa 17 wa upande wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Kama nanufaika na Lissu kuwa gerezani, wamwachie ili nikose hayo manufaa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amesema kuwa iwapo ananufaika kisiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa gerezani, basi mamlaka zinazomshikilia zimwachie ili manufaa hayo yaondoke kwake. Heche amesema kuwa yeye si anayeshikilia funguo za gereza, si aliyefungua kesi dhidi...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali inafanya tathmini ya Tamko la Jumuiya ya Madola kuhusu Lissu, tutawapa majibu

    Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea tamko kutoka kwa Jumuiya ya Madola linaloitaka kumwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ndani ya siku 30. Akijibu swali la mwandishi wa habari, Msemaji wa Serikali alieleza kuwa serikali imeliona tamko hilo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Mahakama itende Haki kesi ya Lissu

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameitaka Mahakama ya Rufani Tanzania kuhakikisha inatenda haki kwa usawa katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Akizungumza na MwanaHALISI Digital Julai 16...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Kinachomponza Tundu Lissu ni Akili. Mmeamua kufungia Akili yake ndani ya Gereza

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha. Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza Akizungumza na waandishi wa habari...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Selasini: Watanzania waseme watakavyo, lakini namsihi Rais Samia asimwachie Lissu kwa shinikizo la nje

    Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa. Selasini...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Lissu kuendelea kusalia Gerezani haina afya, Nchi haiwezi kutulia bila maridhiano

    Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa. "Na nchi...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA siyo Chama cha Fujo, wanaotishia kuua Watu ni CCM, Polisi hawachukui hatua

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesisitiza kuwa chama chake hakiamini katika vurugu bali kinafuata njia za kidemokrasia kupata uongozi. Akizungumza Juni 17, 2026 kwenye mahojiano na East Africa Radio, Heche ameeleza kuwa CHADEMA imevumilia uonevu mkubwa, ikiwemo viongozi wao...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania John Heche nakusihi itisha maandamano Tanzania na Duniani kote ili Tundu Lissu aachiwe

    Kwanza maandamano ni haki ya kikatiba hapa nchini. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 20 ya katiba ya JMT Dunia nzima ilipambana kwa njia ya maandamano ili Mandela afunguliwe. Najua Watawala wote dhalimu huwa wanaogopa maandamano.
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Kyela asema 'Mwili utaumia lakini imani ya CHADEMA haitakufa' asisitiza Tundu Lissu aachiwe huru

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe, ametoa tamko kali dhidi ya kile alichokiita "siasa za mateso" na kesi za kutengenezewa, huku akitaka mamlaka kukomesha vitendo vya utekaji na mauaji nchini. Akizungumza wilayani humo jana, Aprili 21...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Yaitishwe maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza Tundu Lissu aachiwe

    Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini. Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini. Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma. Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
  13. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aachiwe huru sasa!

    Tanzania ilijengwa juu ya misingi ya haki, usawa, na heshima ya uhai wa binadamu. Lakini ni lazima tujiulize kwa ujasiri: Je, bado misingi hiyo inaheshimiwa? Je, Taifa linaweza kusonga mbele wakati haki inapokanyagwa, sauti kunyamazishwa, na uhai kudharauliwa? Leo, suala la kuachiwa huru kwa...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Patrick Lumumba: Ningependa kuona Lissu akiachiwa

    Mwanamajumuiya wa Afrika kutoka Kenya, Prof. Patrick Lumumba, amesema hatua za awali alizoziona kutoka kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana ikiwamo kumuelekeza Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia mashauri ya vijana mbalimbali waliokamatwa kutokana na maandamano yaliyoambatana na...
Back
Top Bottom