tume za uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Lissu: Tume za uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali, Jaji Mkuu Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo

    Wakuu Huu hapa ujumbe wa Tundu Lissu kutoka Gerezani "Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo. Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri! Alikuwa Mwenyekiti wa...
  2. sammosses

    Ni lini Tume za Uchunguzi zitakuja na suluhu ya matatizo yanayoikabili Tanzania yetu?

    Rais wa awamu tatu Benjamin William Mkapa alipoingia madarakani aliunda tume iliyoongozwa na Jaji Warioba, kuchunguza rushwa na udhibiti wake. Kila mmoja aliunga mkono dhamira ya dhati ya Ben. Kilichotokea baada ya taarifa za matokeo ya tume hiyo, alihojiwa kwanini amekwenda nje ya hadidu za...
  3. JanguKamaJangu

    Hivi Tume za Uchunguzi zinazoundwa na Mamlaka lengo lake ni kutuliza upepo au kuzima matukio?

    Kwa miaka ya hivi karibuni kuna Ripoti nyingi zimewasilishwa za uchunguzi kuhusu matukio mbalimbali iwe ya vurugu, mauaji au tuhuma mbalimbali lakini changamoto kubwa ni kukosekana mwendelezo wa ripoti hizo ambazo huwa zinaundiwa Tume. Ninavyoona kuna matukio mengi ambayo yamezimwa kisiasa au...
  4. voicer

    Kwanini CAG hatoi Ripoti ya Matumizi ya Tume za Uchunguzi?

    Imekuwa utamaduni wa kila siku,kusikia zikiundwa tume kuchunguza matukio kadhaa, yanayoleta kadhia mbalimbali ambazo huikumba jamii. Tume hizo huteuliwa na viongozi wa ngazi mbalimbali tofauti, kuanzia ngazi ya taifa hadi mikoani. Hii ikiwa ni kwa mamlaka wanayokuwa wamepewa kwa mujibu wa...
Back
Top Bottom