Mei mosi iko njiani ila changamoto ya hivi vyama vya watumishi bado vinaukandamizaji,, uwajibikaji usio na tija kwa viongozi wa matawi pamoja na kukata pesa watumishi kwenye mishahara yao bado kumekua na ushirikishwaji mdogo kwa wanachama,,
Tshirt zisizo na ubora,, miradi ya matawi kumilikiwa...