Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kutokana na kuenea kwa elimu ya fedha, kwa sasa Watanzania wengi wamehamasika kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).
Cha kusikitisha ni kuwa wawekezaji wanakwama kwa stockbrokers ambao ndio wanahusika kumnunulia au kumuuzia hisa...
Tuwe wakweli jamani, mie binafsi sikumbuki kama nilishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki na visirani visivyoeleweka.
Hata kwa wanawake, mabonge hawanaga baya (Mungu awatunze sana)
Sasa vimbaumbau, yaani iwe kazini au mashuleni, wale waalimu au viranja au maboss wembamba ni hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.