trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, Donald Trump kukamatwa Jumanne ijayo? Awataka Wamarekani (Republicans) kuanzisha Maandamano nchi nzima, Elon Musk atoa neno

    Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari. Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno. Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
  2. Trump: Nitaimaliza vita Ukraine ndani ya saa 24

    Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani. Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwakani 2024 ametoa kauli hiyo Florida, Marekani ambapo amesema...
  3. Ripoti ya bunge la Marekani kuhusu "return" za kodi za TRUMP zinaonyesha biashara zake zinatengeneza hasara

    Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake. Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
  4. META kuamua kama itamrejesha Trump Facebook na Instagram

    Mtandao wa Financial Times umeripoti kuwa kampuni ya Meta Inc inajiandaa kutangaza iwapo itamruhusu Rais huyo wa zamani wa Marekani kurejea #Facebook na #Instagram. #META imeunda timu ya Wafanyakazi wa Sera za Umma na Mawasiliano pia, kuna timu ya Maudhui ambao watajadili na kuamua kuhusu suala...
  5. Trump adai anaundiwa mashtaka ili kumzuia asigombee Urais 2024

    Kauli ya Rais huyo Mstaafu inafuatia uamuzi wa Baraza la Wawakilishi linalochunguza vurugu zilizotokea kwenye majengo ya Capitol Hill kuwataka Waendesha Mashitaka wa Serikali kumfungulia kesi yenye makosa 4. Mashtaka yanayomkabili Trump ni pamoja na Kuzuia Shughuli za Bunge la Congress, Kula...
  6. SI KWELI Elon Musk alidhamiria kutorejesha akaunti ya Twitter ya Donald Trump kwa kuwa anamchukia

    UVUMI Hivi karibuni baada ya Elon Musk kuununua mtandao wa Twitter kuliibuka uvumi kwamba bilionea huyo amepanga kurejesha akaunti zote za Twitter zilizofungiwa, kasoro ile ya aliyekuwa Rais wa Marekani kuanzia mwaka 2017 hadi 2021, Donald Trump. Kichwa cha habari cha taarifa hiyo kinasomeka...
  7. Watu milioni 7.8 wataka Trump arudi Twitter, Elon akubali kumrejesha

    Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi. Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni 15,085,458. Kura 7,844,438 zimetaka Trump arudishiwe akaunti yake huku Kura 7,241,019 zikimkataa Rais huyo...
  8. Nimepiga kura Trump arudishwe Twitter

    Bwana Elon ameanzisha kura ya maoni kwenye mtandao wake wa Twitter akitaka maoni ya wadau kama Trump arudishwe Twitter ama lah. Bwana Elon amesisitiza kwamba maoni ya watu, maoni ya Mungu hivyo kura nyingi sauti ya mungu. Binafsi nimepiga kura Trump arudishwe Twitter.
  9. Trump kuwania tena Urais 2024, atamba kumuondoa Ikulu Joe Biden

    Rais huyo aliyeshindwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 ametangaza kuutaka tena Urais licha ya uchunguzi mwingi unaoendelea dhidi yake kuhusu Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ukwepaji Kodi "Ili kuifanya Marekani iwe Kuu na Utukufu tena, leo ninatangaza kugombea Urais. Kuanzia sasa hadi siku ya uchaguzi...
  10. Uchaguzi Marekani Midterms: 95% ya Wagombea waliopendekezwa na Trump washinda, Morali ya Trump kurudi 2024 imepanda zaidi

    System inamuogopa sana Trump, wanajua ana support kubwa sana ya wamarekani ukiachana na data zinazopikwa na cnn na ggogle aonekane hapendwi, kwa mara nyingine tena Trump kafumua mshono kajibu kwa vitendo baada ya asilimia 95% a wagombea aliowapendekeza kuchukua ushindi, Jeshi hili la wafuasi...
  11. KISASI: Trump apendekezwa kuwa spika wa bunge la Marekani,

    Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka. Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake...
  12. Chama alichomo Trump kinaenda kuchukua House au senate ama vyote, Trump anaweza kupewa uspika wa Pelosi, Biden anaenda kuonja joto la impeachment

    Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa,,, Ukweli ni kwamba kwa sasa hali inavyoelekea Republicans wanaenda kuchukua moja ya mihimili ama miwili...
  13. Dunia imegeuka, ni heri ya Trump kuliko Biden.

    Dunia Iko sehemu mbaya ya uhaba wa nishati, chakula, kupanda kwa maisha na kukaribia vita vya nukilia kutokana na vita na vikwazo dhidi ya Russia. Wakati Trump alikuwa anaamini kwenye dialogue Biden anaamini kwenye mtutu wa bunduki. Trump alifanya mazungumzo mengi na watu anaotofautiana nao la...
  14. Aliyemfukuza Trump twitter na yeye afukuzwa na mmliki mpya wa twitter Elon Musk

    Salama wadau Unaambiwa binadamu hukutana lakini milima haikutani na malipo ya ubaya ni hapahapa duniani. Sasa jamaa baada ya kununua Twitter kwanza kawatimua management yote na baadaye staff wapewa alerts Fagio LA chuma litapitishwa kuondoa baadhi ya wafanyakazi. Sipati picha bwana Trump...
  15. Elon Musk kuifungua Account ya Donald Trump Jumatatu

    Naona Elon amedhamiria kupafanya twitter uwe uwanja fair, sio kama zamani uongozi wa watu wenye woke agenda ukiona mtu flani yupo kinyume na agenda yao wanamfungia Anaandika Trump Pongezi ziende kwa Elon Musk kwa maamuzi ya kuinunua Twiter, Watu wengi wanasema mabadiliko yalihitajika kwa...
  16. Kamati ya Bunge kumhoji Trump

    Washington. Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameitwa mbele ya Kamati ya Bunge (Capitol Hill) kuhojiwa kuhusiana na vurugu za wafuasi wake waliovamia Bunge wakipinga ushindi wa Joe Biden kuwa Rais wa 46 wa Marekani. Kamati hiyo ilikuwa ikichunguza vurugu zilizotokea Januari 6, 2021 baada...
  17. Donald Trump na familia yake washtakiwa kwa kudanganya kuhusu kodi na mikopo

    Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo. Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
  18. Trump; karata aliyoicheza putini kwa weledi mwishowe akalamba joka

    Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi. US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua...
  19. P

    SoC02 Je, Donald Trump alikuwa sahihi kufananisha Afrika na tundu la choo?

    Kauli tata ilitoka kinywani mwa aliyekuwa Raisi wa Marekani awamu iliyopita Bwana Donald Trump ambayo ilisababisha taharuki na tafrani miongoni mwa wengi wapenda haki na amani duniani hasa kutoka Afrika. Hakika kwa mtazamo na hisia za kawaida kauli hii imesheheni udhalilishaji, dharau, ubaguzi...
  20. Donald Trump amtaja Rais Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’

    Donald Trump amemuita Rais wa Marekani, Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’ na akimshutumu kuwa anatumia Idara ya FBI kumdhibidi. Amezungumza hayo katika mkutano na wafuasi wake uliofanyika Pennsylvania, akidai alichofanyiwa na FBI ni moja ya unyanyasaji wa kushtua katika historia ya Marekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…