Naomba unisaidie kushare Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo. Mawasiliano yangu
Email. farajanh53@gmail.com