toyota

  1. JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota Wish na Toyota IST upi unyama?

    Heshima kwenu, Naomba ushauri juu ya uchaguzi wa ununuzi wa Toyota Rush au IST, kiupekee napenda muundo wa Rush imekaa kama gari Fulani yenye hadhi ila sio mjuzi wa magari hata punje, nimeileta kwenu nisaidieni kufanya maamuzi kwa kuzingatia sifa za gari hizo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Pick Up (SINGLE CABIN)

    Wana JF, Nahitaji Toyota Pick Up iwe SINGLE CABIN, iwe katika hali nzuri, kama kuna mtu anayo ani-PM pamoja na Bei yake anayouza.
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Probox used Nina 5.5M 0749442229

    Mwenye hyo gari nitafute ukiwa dar itapendeza zaidi
  4. JamiiForums Tanzania Toyota waja na toleo jipya Landcruiser 300

    Landcruiser 300
  5. JamiiForums Tanzania Msaada Toyota rush inanipasua kichwa

    Habari. Jamani msaada kwenye tuta Nina Toyota rush toka alhamis inaniletea ugonjwa pasua kichwa mno. Ukiitembelea bila kuwasha ac unaweza kutembea hata siku nzima isisumbue gear box ina change fresh kabisa,lakini ukiwasha tu ac ndani ya dakika 5 au 10 basi over drive ina blink kwenye dashboard...
  6. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota harrier inauzwa

    Toyota harrier Mwaka 2005 Kilometers elfu 83 Gari mpya Bei milioni 27.5 Maongezi baada YA kukaguwa gari
  7. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari ya toyota inahitajika!

    Mnunuzi anatafuta gari ya Toyota yenye sifa zifuatazo: Uwezo wa Injini: 1500cc au chini. Hali: Gari iwe katika hali nzuri, isiwe na matatizo makubwa. Historia: Haijawahi kuhusika na ajali. Bajeti: Hadi TZS 5,000,000 (Milioni 5). Ikiwa una gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali...
  8. JamiiForums Tanzania Inaitajika Toyota Passo, vits au IST, Arusha

    Habari, inaitajika Toyota Passo, vitz au IST Bajeti: ni 5M - 6M Eneo: Arusha
  9. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota harrier for sale

    Harrier 2003 2360cc 4wd Haina kipengele chchte 21.7m 0743586474
  10. JamiiForums Tanzania Toyota corola Axio ya 2009 imekaa mwake sana

    Toyota corola Axio Ina Nice design kwa kweli Sio vibaya watalaam watupatie moja mbili tatu zaidi kuhusu gari hili
  11. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Ractis (EFP) Inauzwa TZS. 15.9m

    YOM: 2011 Capacity: 1300cc Automatic Petrol From Japan . TZS. 15.9m . Call: 0717 650800
  12. JamiiForums Tanzania Ipi gari ya kuchukua hapa, Subaru Impreza, Mazda Verisa au Toyota Rumion?

    Wazee, Ushauri unahitajika. Karibuni. Nasikia Subaru Impreza zinasumbua engine, ni kweli?
  13. JamiiForums Tanzania Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  14. JamiiForums Tanzania Car4Sale NAUZA TOYOTA HARRIER CHASSIS 240G

    Make/Model:Toyota Harrier Fuel:Petrol Engine code:2AZ CC:2400 Color:Black Metallic Mileage:71,000kms New tyres✅ Sports Alloy Rims✅ Sunrooof✅ Yom:2003 Price: 37.5M +Free registration.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Toyota Rumion inaweza kitumika kama gari ya bolt?

    Wakuu, nipeni ufafanuzi juu ya hii gari Kwa matumizi ya bolt inafaa?
  16. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Toyota Alphard 2007/ chassis

    Price: 24,800,000 + Registration. Low Mileage: 63,000km Cc: 2360
  17. JamiiForums Tanzania Msaada spea ya Toyota Alteza

    Wakuu kwema!?. Msaada tutani, nina gari aina ya Toyota Alteza ina engine ya 3s Yamaha imeua throttle(inajires na kuwasha chek engine muda wote). Wapi naweza pata spea!
  18. JamiiForums Tanzania Naitaji control box ya Toyota duet

    Wakuu habari zenu. Kama kichwa kinavyosema hapo juu naitaji control box ya Toyota duet engine ni EJ-DE piston tatu msaada wenu tafadhali
  19. JamiiForums Tanzania Wanaojua magari Naomba kujua changamoto za Toyota Sienta

    Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta, Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani? Hasa katika barabara za vijijini?
  20. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari Toyota Surf Inauzwa

    Gari: Toyota hilux surf Mahali: Morogoro mjini Bei ya kuanzia: Maeleweno yapo japo bei ya kuanzia ni Milioni 8 Gari lipo katika hali nzuri na linatembea lsipokuwa lina changamoto ya Cylinder head.Kama kuna yeyote yeyote yuko interested tunaweza kuwasiloana PM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…