Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma.
Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
Probox ni gari maarufu sana East Africa, nadhani ni kwasababu ya durability, space kubwa ya kubeba mizigo na abiria etc.
Sasa ndugu zetu Wakenya sijui wanazitumia vibaya? Maana kwenye page ya Wikipedia imeonekana kama madereva wake ni reckless na hawafuati sheria, pia inatumiwa na corrupt...
Habari Wakuu...
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mgeni kwenye field hii ya magari ila natamani kupata usafiri siku kadhaa mbele.
Chaguo langu ni toyota (kwa sababu ni gari yangu ya kwanza naamini sitosumbuka sana).
Nimewaza gari ya kifamilia zaidi na ngumu ambayo pia ni fuel economy. Katika...