toshiba

  1. Influenza

    Mwisho wa Enzi: Kampuni ya Toshiba yaachana na soko la hisa la Tokyo baada ya miaka 74

    Wale Wazee wa zamani watakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na wakati ambapo moja ya runinga yako, kompyuta, redio au bidhaa nyingine muhimu za kielektroniki zingetengenezwa na Toshiba. Hata hivyo, Kampuni hiyo kubwa ya Kijapani ya vifaa vya kieleteoniki ya KijapanoToshiba, iliyotawala kwa ubora...
  2. davejillaonecka

    Toshiba Portege Z30-c Battery Needed

    Nina shida na battery ya hiyo pc 0659190552 Hata used ina njia 7
  3. N

    Toshiba External Hard Disk GB 500 inauzwa

    Nauza External hard drive (Toshiba) yenye ukubwa wa GB 500 Ipo kwenye hali nzuri sana na haina tatizo la aina yoyote Bei Ni Tshs 65,000 maongezi kdg yapo Nipo Mbezi Stand ya Magufuli TAYARI IMESHAUZWA
  4. Wilfred Ramadhan

    Nahitaji kioo cha Toshiba

    Habari wakuu, Computer yangu aina ya toshiba settilite core i7 ram 8 hdd 500 imedondoka na kioo kimepata clerk ni zile za Touch screen na kugeuza unaweza kutumia kama tablet pia sjui wanaita nyuzi 360. Nipo Dsm NAHITAJI KIOO KIPYA KAMA NAWEZA KUPATA 0627092821
  5. S

    Nahitaji Battery used ya Toshiba satellite

    Habari wakuu Nahitaji battery used ya Toshiba satellite ,aliyenayo atume Bei yake na picha (Kwa Dar es salaam tu) WhatsApp +255765696086 Models PA5024U-1BRS,PA5025-1BRS au PABAS260
  6. Retailer

    Computer4Sale Toshiba Satellite C650 inauzwa 290,000 tu

    Laptop inauzwa. Toshiba Satellite C650 Ram : 3gb Processor: Intel (R) core i3 , 2.27 gHz Window 10 Bei: Laki mbili na elfu ishirini (250,000) Mahali : Kigamboni Sababu ya kuuzwa: Matatizo ya kifedha Uimara wa laptop: Laptop iko imara sana, battery tu ndio inahitaji kubadilishwa lakini si...
  7. tamsana

    Msaada: Laptop yangu aina ya Toshiba Tecra ina tatizo la kuwaka (blinking) taa ya charge

    Habari ya majukumu wadau. Kama ambavyo title inajieleza, Laptop yangu imegoma kuwaka na taa ya charge ina blink throughout. Nimejaribu kutoa battery na kuunganisha charge moja kwa moja lakini bado ile taa inablink. Pia nikirudisha battery ile taa inaendelea kublink throughout hadi niiondoe...
Back
Top Bottom