Habari wanajamvi
Kampeni/matamasha yanaendelea
watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi SAMIA alisema " SISI SIYO WALE WA TONETONE" Bila shaka raisi ameelewa maana ya tonetone ama hajaelewa...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,”...
Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya...
GT
Nishawahi kusema these Chadema people have big brain mara zote wanaona ambako CCM Hawaoni.
1. NRNE: CCM wakaja na mpango wa Oktoba Tunatiki
2. Tone Tone: CCM wakaja na harambee
3. Magwanda: CCM wakaanza kushona Magwanda ya kijani.
4. Kunyanyua Ngumi Juu: CCM wakajaribu kuiga ishara ya ngumi.
Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa.
Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Godblesss Lema ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa Makamu Mwenyekiti bara John Heche yupo salama na afya njema na kesho ataendelea na mikutano
Soma:
Pre GE2025 - LHRC: Kukamatwa kwa John Heche sio sawa ni kinyume na haki za binadamu
John Heche akamatwa na...
Habarini wadau!
Hii agenda imekuwa mwiba mkali sana Kwa CCM na machawa wake, wameingiwa mhaho, hawaoni pa kutokea.
Kwa kweli wananchi tukiiunga mkono na ikafanikiwa ndio itakuwa mwisho wa hiki chama Cha machawa.
Mitandao ya kijamii ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe Kwa wananchi Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.