timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Endeleeni Kujidanganya kuwa mtakacheza nao nafasi ya Pili ni timu dhaifu

    Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine. Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Yanga watafika fainali CAFCC

    Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO. This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga itaendelea kuzifanya timu nyingi zionekane mbovu

    Kuna katabia fulani hivi kameanzishwa na mashabiki wale wafuasi wa Mangungu na Mhindi wa bombay kuwa kila yanga inaposhinda mechi wao wanasema timu ni mbovu iliyokutana na yanga, Ni lugha fulani hivi ya kujihami lakini vichwani mwao wanalo fundo kubwa la wivu, Unaposema yanga kakutana na mbovu...
  4. JamiiForums Tanzania Mlionidhihaki na Kutoniamini niliposema akina Kapombe na Hussein watarudishwa Taifa Stars Timu ikirejea kutoka Misri mpo wapi?

    Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE niliandika Uzi wa kuhusu urejeo Wao Kikosini na nikasema kuwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars ikirejea tu kutoka nchini Misri watajumuishwa na hatimaye kweli imekuwa kama nilivyosema na wako Kikosini ( Kambini ) sasa. Jamani sikutwaa Tuzo ya Mwanachama Bora Jukwaa...
  5. JamiiForums Tanzania Kama timu yako ipo CAF Super League, usibabaishwe na mtu

    Just for your information Afrika ina maelfu ya timu zenye viwango tofauti tofauti. Kuna zenye viwango duni, viwango vya kati na vigogo. Nikikazia neno Vigogo namaanisha timu mfano wa Simba Sc kutoka Tanzania, East Afrika. Kuna vigogo kadhaa tuseme 10 mpaka 15. CAF wamekaa wakaumiza vichwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa

    Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho. Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Timu za DRC ziko hoi taabani: TP Mazembe inashika mkia kwenye kundi lake huko shirikisho na Vita inashika mkia kwenye kundi lake caf champions!

    Sijui timu za DRC zimekumbwa na nini, zote ziko hoi taabani zikivuta mkia kwenye makundi yake!! Hakuna cha TP Mazembe wala Vita!! Hata zikikutana na Ihefu zitaambulia kipigo cha mbwa mwizi!!
  8. JamiiForums Tanzania Hii Timu Imechaguliwa kwa Ubaguzi sana, Alafu kuna Mzungu Mtanzania!

    Naichungulia timu ya Taifa inayokipiga muda huu, siwaoni wachezaji wa timu unayosema ni bora humo, lakini naona kuna mchezaji wa kizungu huyu au ni macho yangu mabovu!. ☝🏾Picha zingekuwa zinafunga magori nadhani Uganda ingeona cha mtema kuni.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini ligi yetu ni bora kuliko ya Uganda lakini wao ni bora kwenye timu ya taifa kuliko sisi?

    Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5! Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe unaweza ukaitwa timu ya taifa ila ukawa unatumika kama Comedian

    Sio wote wanaoitwa timu zao za taifa wanaenda kucheza, la hasha. Wengine wanaitwa kama comedians ili kwenda kuwafurahisha wachezaji wengine. Hivyo sio kila national team call up ni ya kufurahia nyie mashabiki mbumbumbu! Edward Kumwembe alikuwa mbele ya muda. Alikuwa sahihi
  11. JamiiForums Tanzania Tunaobeza Sakho kitwa timu ya taifa Senegal tuweke akiba ya maneno

    Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa dakika 10 akafunga goli Bora la mwaka Sasa sijui tutaficha wapi sura zetu. Tubeze lakini tuwe na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Timu bora hutoa wachezaji bora, Yanga yaongoza kwa kutoa wachezaji bora timu za Taifa

    Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa; Tanzania; Bakari Nondo Mwamnyeto...
  13. JamiiForums Tanzania Kila la kheri Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes)

    Nawatakia ushindi timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) watakapocheza na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars). Sikutegemea kitendo kilichofanywa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kumwita kwenye timu ya Taifa mchezaji ambaye ameshindwa kutimiza matakwa ya mkataba kwenye Klabu yake...
  14. JamiiForums Tanzania Simba Timu Bora Tanzania 2023

    Ukiachana na wale ambao ni Team Kamati ya roho mbaya, kila shabiki wa soka Tanzania anajua kwamba timu ya Simba kwa mwaka 2023 ndiyo timu bora Tanzania!!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Yanga yatoa wachezaji 13 timu za Taifa Afrika

    Note it: Yanga SC ndio timu pekee ktk ligi kuu soka Tanzania bara kutoa wachezaji wengi wa kigeni na wazawa ambao wameitwa kwenye vikosi vya timu za Taifa. Wa kigeni 6 na wazawa 7 jumla 13, Kwa tafsiri ya haraka ndio timu bora kwa sasa ktk ligi yetu na inaakisi kile ambacho kinaonekana viwanjani.
  16. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia ikitokea Timu za Ihefu FC na Gwambina FC zinacheza Kimataifa utaendelea Kununua Magoli kwa Tsh Milioni Tano?

    Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile. Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama Kutokujua Kwenu au kwa Uzwazwa wenu Kukubali kuwa Mali ya CCM na Serikali.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana timu za Yanga na Simba

    Ninawapa hongera kubwa sana kwa kutufurahisha sisi Watanzania kwa ushindi mlioupata katika mzunguko wa kufuzu Robo Fainali. Juhudi zenu zisikome hapo mlipofikia, ila tunaomba safari hii mfike mpaka Fainali. Narudia tena hongereni sana Wanalunyasi na timu ya Wananchi.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Monastir ni timu nzuri kiufundi na imetimia kila idara lakini wanakutana na Yanga iliyotimia zaidi na yenye njaa ya mafanikio

    Tunategemea mechi nzuri sana na yenye ushindani mkali leo hii kwakuwa zinakutana timu ambazo zote ziko vizuri kiufundi na zikiwa na wachezaji bora kwenye vikosi vyao, Monastir walimfunga yanga goli 2 kule Tunisia na aina ya magoli ambayo walifunga ni mipira ya kutengwa (set pieces), ni eneo...
  19. JamiiForums Tanzania TFF hawajamuita Feitoto ili acheze timu ya Taifa Bali kumrudisha tu dar Akutanishwe na Yanga

    Yani baada ya Yanga kushindwa kabisa kukutana na Feitoto Licha ya TFF kuwaita kwenye kesi pamoja ili iwakutanishe. Sasa mbinu ya mwisho waliyoitumia ni kumwita Feitoto timu ya Taifa. Huko pia wanampango kumwita Kocha wa Yanga Nabi akae kwenye benchi la ufundi ili wapate wasaa wa kumshawishi...
  20. JamiiForums Tanzania TFF wametumia vigezo gani kupanga timu mwenyeji katika kombe la Azam federation Cup robo fainali

    Habarini wana michezo. Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua ya 16 na 32 bora. Maana nimefatilia naona kama hizi timu kubwa zinapewa kipaumbele kuchezea viwanja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…