timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Spain: Idadi ya vifo yapindukia 200 Wakati Timu Za Uokoaji Zikitafuta Watu Waliotoweka

    Waokoaji nchini Uhispania wanapambana kufikia maeneo ambayo bado yamekatwa kutokana na mvua kubwa wakati idadi ya vifo kutokana na mafuriko ya janga ikiongezeka hadi 205 katika janga baya zaidi la hali ya hewa barani Ulaya katika miongo mitano. Mjini Valencia, eneo la mashariki ambalo...
  2. Michezo inaahirishwa, Timu zinaathirika, Lakini zaidi ya mwaka Hakuna ukarabati wa maana unaoonekana uwanja wa Mkapa

    Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka sasa hakuna hata TV! pitch bado mbovu, LED Display boards zimeondolewa! Sasa usumbufu na muda wote huo...
  3. Serikali kuunda timu maalum kusimamia urejeshaji huduma za usafiri wa vivuko Mafia - Pwani

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko vya MV Kilindoni na Meli ya TNS Songosongo vinavyofanya safari kati ya kituo cha Mafia - Nyamisati...
  4. M

    SIKUMBUKI NI LINI TIMU YOYOTE IKIFUNDISHWA NA JUMA MGUNDA ILIWAI KUMFUNGA SIMBA!

    Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo! Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba anawasaidia sana kupata point kwenye timu yoyote anayoifundisha, aiwezekani Kila mechi ukose mbinu...
  5. Najiuliza Kama kwenye uchumba tunakosa furaha, tukimpa Timu itakuwaje!!!

    Wanasimba tutafakari vema kumpa Timu huyu bwana tunaemwita mwekezaji. Naliona Giza mbele yetu Mimi nimepoteza imani kwake.
  6. Timu ya taifa ya wanawake Iran yaondolewa michuano ya ASIAN CUP baada ya kuchezesha wanaume

    Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
  7. Simba na Taifa Stars: Changamoto na Nini Kifanyike Kuleta Mabadiliko ya kweli

    Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
  8. Kayoko ni mwamuzi mbovu ila kwenye hii derby kila timu imeathirika na maamuzi yake ya ovyo tofauti na Simba wanavyoona ni wao pekee

    Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana. Kwenye swala la penati ambayo ni halali ni moja tu na sio mbili kama inavyodaiwa. Ile moja ni faulo...
  9. Paul Makonda awakabidhi Arusha timu ya Coastal Union ya Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametangaza rasmi kuwa timu ya Coastal Union ya Tanga, maarufu kama "Wagosi wa Kaya," sasa itaanza kutumia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kama uwanja wake wa nyumbani. Hatua hii inalenga kukuza mchezo wa soka mkoani Arusha, huku pia ikileta manufaa makubwa...
  10. FA yamuwania Guardiola kuinoa Timu ya Taifa ya England

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anatajwa na vyanzo mbalimbali kuwa yupo kwenye listi ya makocha wanaowaniwa na Chama cha Soka cha England (FA) kuinoa timu ya Taifa hilo. Uamuzi huo unaweza kuchukuliwa kwa kuwa kocha wa muda, Lee Carsley amejulishwa hatapewa ajira ya uhakika kuendelea...
  11. Wachezaji wa Tanzania wajenge utamaduni wa kustaafu kwa hiari kuchezea Timu ya Taifa

    Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa. Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
  12. S

    Timu ya Taifa ya Nigeria imepewa funzo kutoka Libya

    Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg ) Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika Libya wakatelekezwa airport masaa 12 bila msosi Ule msemo wa you punch me once i punch u triple...
  13. Ahmed Ally: Tarehe 19 tunacheza na timu kubwa iliyotuzidi makombe 8.

    “Tarehe 19 tunaenda kucheza mechi na mkubwa wetu ambae ametuzidi mwaka mmoja wa kuzaliwa na anatuzidi makombe🏆🏅 nane 8 ya ligi, hii ni mechi ambayo inabeba taswira ya soka letu la tanzania.
  14. Murtaza Mangungu: Inakuwaje Timu Iliyoongozwa na Malofa Ikapigania Uhuru?

    Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru. "Tumesoma vitabu vya historia na klabu...
  15. Kocha mpya unaekuja wa United panga timu yako hivi ili umalize top 6

    Leo kipara ngoto anasepa.
  16. Ancelloti kama huko humu ebu panga timu yako hivi

    Umeanza kwa kususua sana na timu haina stability, fanya hivi. Guler, endryk, rodrygo waanzie bench
  17. Je, Umeitambua hii ni timu gani?

    KITENDAWILI: Mechi ya kwanza 4️⃣ Mechi ya pili. 3️⃣ Mechi ya tatu. 2️⃣ Mechi ya nne. 1️⃣ Mechi ya tano sare Mechi ya sita itakuwaje?
  18. Mchezaji anayeisababishia timu yake kupata penati ihesabike kama assist.

    Hii haitozihusu zile penati zinazopatikana kwa beki kuunawa mpira ndani ya 18.Iwapo Mchezaji kapambana na kusababisha penati alafu hapewi fursa ya kupiga yeye basi walau ahesabiwe kama ame assist.Haina maana Mtu apambane asababishe penati tatu kwa mfano alafu zote zipigwe na mwingine,sifa zote...
  19. Simba na Yanga mpaka sasa kutokuwa na Viwanja vyao vyenye hadhi ya Kimataifa? Tatizo ni TFF, Sera au?

    Simba na Yanga ni vilabu vikongwe na vikubwa si Africa Mashariki tu bali Afrika kwa ujumla. Yanga na Simba zina historia kubwa pengine kuliko vilabu vingi Africa, historia zao zimejengwa katika lengo lililofanya vilabu hivi kuazishwa miaka zaidi ya 63 iliyopita. Vilabu hivi unaweza kuviita ni...
  20. Huenda Elly Mpanzu alikosa timu Ulaya kwa kudanganya umri?

    Huku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake. Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form six, lakini leo hii naonekana kijana kuliko yeye. Wazungu wana kipimo cha umri, si ajabu kilisoma 32...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…