timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Saed Ramovic: Ligi ya Algeria ina Ushindani mkali kuliko Tanzania, ambapo kuna timu Tatu tu!

    Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema, "Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki...
  2. Hivi hii timu ya Juventus inamashabiki kweli

    Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
  3. Simba mliacha kuandaa timu mkaenda Dodoma kwenye sherehe za CCM

    Mliacha kuandaa timu,mkavalishwa madera ya kijani na njano rangi xa timu ya Chasambi Sisi ni wekundu jamani rangi za matunda na mbogamboga wapi na wapi
  4. R

    Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

    Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k. Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
  5. Kuifunga Simba ndiyo kipimo cha ubora kwa timu za Tanzania

    Kwa Tanzania ili timu ijue ubora wake ni lazima icheza na Simba na kuifunga. Ndiyo maana timu nyingi zinapocheza na Simba uahidiwa mamilioni ya fedha tofauti zikicheza na timu nyingine. Timu yoyote ile ikiifunga Simba, furaha ya wachezaji wake, makocha, viongozi na mashabiki huwa kubwa sana na...
  6. Makolo mnalia nini kutoa sare na wakati nyie wenyewe mlisema mnajenga timu

    Maendeleo yoyote yana gharama zake na kilichotokea leo ndio matokeo ya maendeleo hayo. Sasa nawasihi muendelee kushikamana swala la ubingwa muliweke pembeni nyie endeleeni na project yenu. NAtabiri maneno yatakayoanza sasa -GSM ana dhamini timu nyingi -Bahasha zinatembea (zitatembea mpaka tar...
  7. Timu iko Mashindanoni mnaipeleka Bungeni Kutalii na kuichanganya na Siasa za Kikampeni kwanini isolate Matokeo ya Leo?

    Na kama haitoshi hadi Wachezaji muhimu muhimu wakawa wanapeana Namba za Simu na Watunga Sheria wenye Umri Mdogo (wa Jinsia tofauti na Wao) na wale ambao Umri ulishawaacha. Mpo Vitani huku mkijua anayewakimbizeni ana Nguvu ya Ziada kutoka kwa Mmiliki wa Chama chenye Rangi zinazofanana nao na...
  8. Ahmed Ally amtetea Chasambi baada ya kujifunga bao lililoigharimu timu yake

    Rasmi leo ndio umekua mtu mzima wa kimpira, ingekua kimaumbile tungesema umebaleghe hii leo Matusi, kejeli, na dhihaka zote utakazopokea leo ni ukaribisho kwenye ukubwa wako, yasikutishe tamaa na wala yasikuvunje moyo, KARIBU UKUBWANI Umeumiza mioyoo ya Wana Simba, lakini wewe sio wa kwanza...
  9. Simba bado inajenga timu

    Kwa mechi ya Jana na Tabora na mechi iliyopita na CS Constantine inaonekana kabisa kuna marekebisho makubwa Sana yanatakiwa kufanyika wakati Simba inajenga timu. Kwanza wachezaji waongeze umakini kwenye kumalizia mipira ya mwisho ili yale magoli wanayokosa kwenye Kila mechi wafunge. Naamini...
  10. Kama Elie Mpanzu amefeli kupata timu ulaya, Clement Mzize asijidanganye, labda bahati imbebe

    Ni kweli kuna watu oale EPL ukiwaona uwezo wao hauna tofauti na walioko Africa. Natambue kuwa Elie Mpanzu na Clement Mzize wanacheza nafasi tofauti ila Mpanzu anaonekana ana kipaji kuliko Mzize, kuanzia skills dribbleling, mikimbio, control, speed, sense amemzidi pakubwa Samatta alijaribu EPL...
  11. Kauli ya Simba ya ‘Tunajenga Timu’ lengo ni kuwapumbaza wasiojielewa

    Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+ Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke. Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu...
  12. Tabora timu yao Iko vitani wao wanamshangilia adui uwanja mzima wamevaa nyekundu, nani awaambie Tabora ikishuka Simba hawataiona tena

    Somo la uzalendo limekuwa gumu sana hapa kwetu ,wenzetu huko epl na ulaya yote kwa ujumla timu ya nyumbani inapocheza hata na timu kubwa unayoishabikia uzalendo ni kuvaa jezi ya timu ya nyumbani ,skafu za timu ya nyumbani kuishangilia timu yenu ! Hakuna faida yoyote wakayooipata tabora ikiwa...
  13. A

    Hatimaye kiungo Novatus Miroshi amefaulu kupata namba ya kudumu kwenye timu yake na leo kafunga tena

    Beki wa Tanzania anayecheza nchini uturuki akiwa na timu ya Goztepe SK, Novatus Dismas Miroshi amefaulu kujinasua kutoka kifungo cha kukalia benchi na kuanza kuaminiwa kuanza. Leo amefunga goli la pili katika mchezo ambao wamepoteza 3-2 na Fenerbahce inayonolewa na Jose Morinho. Hii kwake ni...
  14. B

    Utatambuaje timu zinazocheza kwenye league ya Serie A

    Nimekuwa napata shida sana kutambua timu zinapokuwa zinacheza kwenye hii League ya Serie A hasa ukiwa haujui wachezaji wa timu hizo na km hautaona line-up. Tumezoea kutambua timu kwa rangi zao kwenye runinga kwa juu kushoto lakini hawa jamaa hizo rangi za kutofautisha hazipo, ni rangi moja tu ya...
  15. Kata ya Kibilizi -Kigoma. Mslac inatoa msaada wa kishera,waziri wa k/s na timu ya wanasheria

    Serikali inayofanya kazi https://www.youtube.com/live/yosk_mQCWz4?si=iszIUWOsKRLtKyqz
  16. Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  17. Tuendeleeni tu kulifanyia Mzaha hili Suala la Timu zinazomilikiwa na Mawaziri Waandamizi kuwapa Kiholela Uraia Wachezaji wao

    UHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
  18. Timu iliyoshika nafasi ya tatu Ligi Kuu msimu uliopita ndiyo imebaki kimataifa

    Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF. Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam. Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
  19. Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

    Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo Haya mashindano...
  20. PreGE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

    Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…