timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Tungekuwa na timu nzuri tungeileta maana tungekuwa tunajiamini

    Tatizo hatujiamini kwahiyo eleweni kiutu uzima, bora wapewe points 3 na magoli 3 sisi tutalipa faini TFF yatakwisha kuliko kuja uwanjani wakati li Prince Dube na li Aziz Ki, na li Pacome bado lile toto li Max Nzingeli, li Mzize yote yanakutamani hapo li Boka nalo lipo, na li Yao Yao limerudi...
  2. B

    Hii mechi ya trh8 Timu zote ziliwekeza nje ya uwanja. Ndomana yametokea yalio tokea

    Tukitoa mahaba na mapenzi na ushabiki wa hizi Timu mbili Simba na yanga ukweli usemwe tu. Simba na yanga ni kurwa na doto ni Timu zinazo Juana nje ndani. Akuna kitu amewahi fanya Simba yanga ajafanya. Hakuna njia alyopita Simba yanga ajapita. Hiki kinachotokea Leo trh 8 hakuna jipya kwa...
  3. D

    Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

    (Kila kinachosikika ni lazima kiletwe humu); Kutoka chanzo muhimu, inasemekana kuwa licha ya barua Yao ya kutoshiriki derby ya Leo, kikosi Cha Simba kitapelekwa uwanjani kama kawaida tayari kwa mechi. Kwa mujibu wa chanzo hiki, Kilichofanyika usiku wa Leo ni milolongo ya hatua za kuwatoa...
  4. Picha: Sababu za kiroho kwa nini Simba wanaogopa kupeleka timu uwanjani

    " Wajomba zangu nisiwafiche, Kwa Yanga hii Simba hamchomoki"
  5. Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

    Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh: Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
  6. Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  7. GSM akiacha kudhamini timu nyingine Yanga itakuwa timu hatari zaidi

    Imagine pesa zote anazopeleka kwenye timu nyingine zipelekwe Yanga, wakati huo huo upande wapili kanji bai hataki kutoa hela ya mfukoni, anaendesha timu kiujanja ujanja. TFF kubalini pendekezo la makolo haraka, wanahamu ya kupigwa 5+ mara kwa mara.
  8. Kwanini iitwe Kariakoo Derby wakati ni timu ya Simba SC pekee iliyo Kariakoo?

    Mada zangu zina kawaida ya kuwa mbele ya muda. Ukija kibishibishi muda utakuumbua. Kuna siku nilihoji uhalali wa kusema ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora Africa, wengi wakanibishia bila chanzo cha kuaminika cha hiyo ranking. Matokeo yake sasa hivi, kila mtu, kuanzia mashabiki, wachambuzi hadi...
  9. Kwanini hakuna special thread za timu za Tanzania?

    Tangu nijiunge JF naona special thread za timu za ulaya tu: Manchester City Manchester United Arsenal Real Madrid Barcelona Lakini sijaona special thread za Simba SC,Young Africans,Azam,Kagera Sugar, au timu yoyote ile ya Afrika! Zipo mimi ndio sijaziona hizo thread? Sheria na kanuni za...
  10. Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  11. Azam anatuharibia mpira: Unamiliki timu halafu unakuwa mdhamini wa ligi, hii haikubaliki

    Leo nimeumia sana, tumenyimwa penati 3 clear kabisa wakuu kisa timu ya mdhamini inacheza. Maumivu ni makali sana, tungefunga penati zote tungewakanda 5-2. GSM na Azam hatuwataki. Mo acha unyonge, dhamini nawewe timu mbili tatu. Simba Nguvu moja.
  12. M

    Leo nawapa Siri kwanini Yanga anaziangamiza sana timu zenye udhamini wa GSM na ataendelea kuziangamiza

    Sio kwamba Yanga wanabebwa ama wanapendelewa na hao waliodhaminiwa na GSM hapana, huu ujanja tunaoweza kubaini ni wachache sana. Kuna siku Haji Manara alisema Yanga itabeba ubingwa mara 30 mfululizo msiposhtuka, alikuwa na maana yake kubwa, kwamba kwa mikakati waliyoiweka kwenye timu...
  13. Wakati Simba inaelekea kucheza robo final shirikisho tujikumbushe,Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kucheza final za CAF shirikisho mwaka 1993

    Hapo vip!! Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993. Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini...
  14. L

    Timu ya madaktari wa China nchini visiwani Zanzibar yaleta mwanga wa matumaini kwa mama wa miaka 70

    Akiwa na umri wa miaka 70, Tuma Saidi Hamadi kutoka kisiwa cha Pemba, Zanzibar alikuwa katika hatihati ya kupata upofu, lakini maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China kumfanyia upasuaji wa mtoto wa jicho na kurejesha uwezo wake wa kuona. Safari ya...
  15. S

    Kuhujumiana: Kuna siku Simba mtacheza na timu itayopanga kwa makusudi kikosi dhaifu na sijui mtajiteteaje

    Leo hii ni Yanga na unaweza kuta Yanga wala hawakuhusika na upangaji wa kikosi cha Singida Big Stars bali huenda ilifanywa makusdi wapate la kusema. Kwahiyo, kama Yanga walihujumiwa ili wachafuliwe,. basi siku si nyingi na Simba yatawkuta. Si lazima timu ipange kikosi dhaifu, bali zinaweza...
  16. Hizi timu ni familia ya GSM na Yanga.

    1. Dodoma Jiji (familia) βœ…βœ… 2. Kagera Sugar (GSM) βœ…βœ… 3. Pamba Jiji (GSM) βœ…βœ… 4. KMC (Familia) βœ…βœ… 5. Prisons (silent ocean) βœ…βœ… 6. Coastal (GSM) βœ…βœ… 7. Mashujaa (GSM) βœ…βœ… 8. Singida (Familia) βœ…βœ… 9. Namungo(GSM)βœ…βœ… Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga...
  17. M

    Huyu Dube mnataka afunge magoli mangapi ili aonekane ni bora? Goli 8, assist 7 siyo mchango mdogo kwenye timu!

    Bado nasema dube ni mshambuliaji mzuri pamoja na mapito anayopitia. Mpaka sasa sidhani kama Kuna namba 9 kwenye ligi nzima mwenye mchango wa magoli kwenye timu yake anayemzidi dube! Kama yupo nitajieni,,magoli 8 na asisti 7 ni jumla ya mchango wa goli 15 kwenye timu,,sio jambo jepesi...
  18. Ni kawaida Matola kuwakazia Simba SC akiwa na Timu nyingine, ila siyo kwa Mnafiki na Mnazi Kally kuwakazia waliotupwa CAFCL

    Kwahiyo wala msipoteze muda wenu kusubiria Matokeo yao ya Kesho au Keshokutwa hapo Mwenge Kwao kwani si tu kuwa Watafungwa bali Watafungwa nyingi sana.
  19. Je, hii ni coincidence au la? Timu zinazoelekea kucheza na Simba kupata ajali na mechi kuahirishwa

    Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu. Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji
  20. Timu za Mbeya mdebwedo sana

    Juzi Kengold kutoka Chunya Mbeya imepigwa goli sita kwa moja (6-1) na Yanga. Leo hadi kipindi cha mapumziko, Prison Tanzania kutoka Mbeya imeshakandwa tatu bila (3-0) na Simba. Hizi timu za Mbeya zimekuja ili zishuke Daraja. Timu za Mbeya ambazo zikishawahi kushuka Daraja ni pamoja na Tukuyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…