timu ya yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 CHADEMA yatoa tamko kuhusu sakata la Timu ya Yanga kuchangia Harambee ya CCM

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Klabu ya Yanga kujiepusha na Siasa na kurejesha Shilingi milioni 100 zinazodaiwa kuchangia kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia GSM Foundation. Kupitia taarifa iliyotolewa Agosti 15, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi...
  2. Samia atosha tukutane2030

    Mashabiki wa mpira acheni kelele, Kisheria pesa za timu ya Yanga haziwahusu

    Zama hizi mtu anayepiga kelele na kubwabwaja huyo ni tahira. Kama kiongozi au viongozi wame misuse pesa za timu ambazo ni za shirika mahakama ziko wazi. Kubwabwaja maana yake pesa za Yanga au Simba hazina uhusiano na mashabiki (haziwahusu) ila viongozi wakitaka pesa wanatumia ujinga wenu...
  3. Kipenzi Changu

    Video: Mzee mpili asema shauri yenu mimi naingia

    Hawa wahuni ni kundi kubwa, vijana mixer na wazee. Mzee Mpili ameonekana yupo viunga vya uwanja wa Mkapa akaitaka kuingia uwanjani ili kupata kushuhudia mchezo wao wa ligi kuu kati ya Simba. Ambapo kiuhalisia mchezo huo umeharishwa na bodi ya ligi kuu. Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha...
  4. Waufukweni

    Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

    Wakuu Yanga tayari wamewasili uwanjani benjamin mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa. Soma, Pia Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba Ahmed Ally awaomba radhi...
  5. Damaso

    𝐒𝐡𝐚𝐟𝐟𝐢 𝐃𝐚𝐮𝐝𝐚 & 𝐉𝐞𝐦𝐞𝐝𝐚𝐫 𝐒𝐚𝐢𝐝 mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi

    Wachambuzi 𝐒𝐡𝐚𝐟𝐟𝐢 𝐃𝐚𝐮𝐝𝐚 & 𝐉𝐞𝐦𝐞𝐝𝐚𝐫 𝐒𝐚𝐢𝐝 mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi na kuamua kuwaweka Job, Paccome, Aziz & Chama nje? Hakuna tuhuma za kupanga matokeo hapa? Je ni kweli GSM anahusika na kuharibu ligi yetu? Tunasubiri makala zenu Waheshimiwa. 😀
  6. Blender

    Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

    Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini. 1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa. 2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan. Ushahidi wanao Azam...
  7. Nehemia Kilave

    Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

    Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup. Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu? Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.
  8. Nyanda Banka

    Tetesi: Pacome aomba kuondoka Yanga

    Hizi inaweza kuwa taarifa kubwa zaidi hapa Tanzania kwenye dirisha hili Kubwa la Usajili 2024. Taarifa za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai Paccome Zouzoua amepata offer kubwa kutoka kwa Mabingwa wa Africa, Al Ahly. Kumbuka Pacome Zouzoua Peodoh amebakisha Mwaka 1 kwenye Mkataba...
Back
Top Bottom