timu ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msuva awe nahodha wa timu ya Taifa Stars

    Mbwana bado anahangaikia hatima yake, mara Genk, mara Aston, mara Fenabache mara Ubelgiji tena. Nadhani mchango wake kwenye timu ya taifa hautoshi kuendelea kushikilia unahodha wa timu hii. Mchango wa Msuva ni mkubwa sana, anacheza kwa nguvu zake zote akiwa na timu yake ya taifa. kwanini...
  2. JamiiForums Tanzania Tukumbushane Majina (nick names) ya timu za taifa mpira wa miguu

    Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika. Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya marekebisho ukitwambia na maana yake itapendeza zaidi,kwa kuwa mfano naanza Mimi. Taifa Stars - Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

    Tozo ya miamala imepiga mpaka kumbukumbu zimeruka
  4. JamiiForums Tanzania Aymeric Laporte aitwa timu ya taifa ya Hispania

    Beki wa Manchester city Aymeric Laporte mzaliwa wa Ufaransa ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uhispania kitakachoshiriki mashindano ya Euro 2022. Mwaka 2019 beki huyo aliitwa kwenye kikosi cha Ufaransa kwa mara ya kwanza lakini aliondolewa kutokana na majeruhi. Pia nahodha wa timu...
  5. JamiiForums Tanzania Benzema aitwa tena time ya Taifa

    Haikuwa kipindi chenye furaha sana kwa Karim Benzema, mchezaji wa Real Madrid na raia wa Ufaransa baada ya kukosa kuitumikia timu yake ya taifa kwa miaka 5 kwa tuhuma za kuhusika kumlaghai mchezaji mwenzake Mathieu Valbuena kwa video ya mapenzi miaka mitano iliyopita. Kocha Didier Deschamps...
  6. JamiiForums Tanzania Kocha Syllersaid Mziray amefariki dunia, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo

    Imeripotiwa amefariki huko Dar es salaam Hospitali ya Agakhan. RIP Kocha Mziray ========= Marehemu Syllersaid Mziray enzi za uhai wake MMOJA wa makocha wasaidizi wa timu ya Simba, Syllersaid Kahema Mziray 'Super Coach' amefariki.Mziray alifariki jana saa 10 alifajiri katika hospitali ya Aga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…