thamani ya dola

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gudasta

    Kwa sasa sarafu mtandao ya PI ina thamani ya Dola ngapi?

    Wazee wa PI naomba kuuliza sasa hivi ina thamani Gani kwenye soko la fedha..?
  2. Setfree

    Shetani ameaibika tena! Alituma mtu aibe 'assets' zangu zenye thamani ya dola 5000, amenaswa!

    Ndugu zangu, mara kwa mara nimekuwa nikiwasimulia humu mambo makuu anayonitendea Mungu maishani mwangu. Leo tena nawaletea ushuhuda wa kweli, kweli tupu, jinsi Mungu alivyoniwezesha kupata 'assets' zangu zilizokuwa zimeibwa na ajenti wa shetani(ibilisi). Ilikuwa hivi: Hivi majuzi, mimi na...
  3. S

    Sababu kwa nini shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kuliko fedha zote duniani kwa sasa!

    Kwamba fedha nyingi zilichapishwa kukiwa na kisingizio cha kuondoa fedha za zamani kwenye mzunguko. Sasa mpango wa kuondoa fedha kwenye mzunguko haukufanyika, na fedha mpya zilizochapishwa bado zikaingizwa kwenye mzunguko kwa namna ya kulipia gharama za uendeshaji wa serikali, wakandarasi...
  4. U

    Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Biden administration prepping $8 billion arms package...
  5. S

    Kama Rais Samia alipongezwa sana shilingi kupanda thamani dhidi ya dola, hatupaswi kumkosoa sasa shilingi inapoporomoka dhidi ya dola?

    Wale wau ambao kila kitu kizuri kikitokea wanaishia kusema ni kwa sababu Mama Samia anaupiga mwingi, kuna wakati hizo sifa kwa raisi zitawatokea puani na kumuumbua sana raisi wetu. Juzi hapa thamani ya shilingi dhidi ya dola ilipanda ghafla, toka Shs 2700 kwa dola hadi Shs 2200 kwa dola. Watu...
  6. ward41

    Haiwezekani kushusha thamani ya dola ya Marekani

    yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu. Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu. Mipango...
  7. CHAGOSI GERALD

    Kwanini Shilingi inazidi kupoteza thamani yake dhidi ya Dola?

    Kipindi nipo chuo miaka miwili iliyopita nilikuwa naona USD inacheza kwenye Tsh2300 hivi lakini hivi sasa Dollar imepanda sana. Hii inamaana gani kwenye uchumi wetu? Kwanini Shilingi inadhidi kupoteza Thamani yake dhidi ya Dollar? Labda tuseme uchumi unakuwa kwa maana hiyo hata Garama za...
Back
Top Bottom