thadei kweka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Baada ya Kisa cha Thadei Kweka, nadhani sasa Mwanasheria Mkuu ataufyata na kutambua kwamba Mange Kimambi akija Tanzania hawezi kumgusa kabisa!

    Sijajua kama Mange Kimambi ana uraia wa USA au la ,lakini hata kama ana residence ya kudumu, nadhani sasa Mwanasheria Mkuu wa serikali ataufyata na kutambua kwamba Mange Kimambe akiamua kuja Tanzania watakachoweza ni kumzuia pale airport. Lakini kwamba eti watamfunga thubutu! Swali la "who are...
  2. Msanii

    Thadei Kweka aachiwa huru

    Taarifa ya hivi punde... Mmarekani mwenye asili ya Tanzania ambaye alikamatwa huko Kilimanjaro kwa ‘maagizo toka juu’, ameachiwa huru jioni ya leo. KWA KINA: Thadei Kweka ameachiwa huru leo January 3, 2026 baada ya kushikiliwa Polisi kwa siku 6 kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kupitia...
  3. Lord Denning

    Marekani njooni muwachukue Samia, Wambura na Mafwele kwa kumteka Raia wenu Thadei Kweka

    Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro. Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani. Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
  4. DuaZaMama

    Mkanganyiko Mahakamani: Thadey Kweka aonekana kuwa mlalamikaji na mlalamikiwa katika shauri moja

    Ameandika Wakili Peter Madeleka kupitia mtandaoni; "Huo hapo ni uamuzi wa Mahakama na ni halisi (Authentic). Kimsingi, haueleweki na Hautekelezeki kisheria. Haiwezekani Thadey Sabinus Kweka akamshtaki Thadey Sabinus Kweka. Nitashangaa kama Polisi watatumia Uamuzi huo dhidi ya Kweka. Huko ni...
  5. DuaZaMama

    Thadey Kweka apandishwa mahakamani leo Desemba 31, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi

    Amendika Malisa kupitia mtandaoni; Baada ya kushikiliwa kwa siku 3 kituo kikuu cha polisi (Central) Moshi, hatimaye Thadei Kweka amepandishwa mahakamani mchana huu, leo Desemba 31, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Ikumbukwe Thadei ni raia wa Marekani (alishaukana uraia wa TZ). Hata...
Back
Top Bottom