tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TFF anzisheni Leseni ya uchambuzi WA soka.

    Kwa Hali ilivyo Sasa, Mtu anatoka baa anapitia studio anahojiwa eti ni Mchambuzi wa soka inafubaza ubora WA soka la Tanzania. Kama mawakala wa Wachezaji Wana Leseni na wanafanya mitihani kabla ya kuzipata iweje kuchambua soka ambako kunahitaji utaalamu zaidi iwe holela? Mtu aliyefeli kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Kila mechi za Simba kuna kadi nyekundu, rejea Fountaine Gate. TFF kuna nini kinaendelea, si msitishe ligi muwape ubingwa msitese wachezaji?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. TFF kuna nini kinaendeleaa, Nassoro Hamduni weka sawa yanayoendelea. Ushauri wangu tu achaneni kutesa watu uwanjani kama mmepanga bingwa, wapeni ubingwa Simba. Sio lazima wamalize hii ligi yenu ya kihuni.
  3. JamiiForums Tanzania Kama kusoma hamjui na picha pia hamuoni?TFF rudieni kuangalia tena na tena hii mechi ya leo mtagundua kitu

    Ni kati ya mechi za hovyo sana kuwahi kushuhudia kwenye ligi yetu. Timu inaongozwa 2:1, dakika zimeisha, mnapata faulo mnapoteza muda nyie wenyewe? Pale wangekuwa wanacheza na Simba Singida wote wangejazana golini kwa Simba ile faulo apige Golikipa, tena wangekuwa na haraka ya hatari, lakini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TFF na TAKUKURU waangalie hili suala la upangaji wa matokeo linalofanywa na Yanga wakishirikiana na washirika wao Singida Big stars

    Bila ya kupepesa macho suala lililifanywa hivi leo na Singida Black stars linaonesha viashiria vyote vya upangaji wa matokeo katika ligi kuu ya NBC nchini Tanzania. Yaani Singida BS wameanza na kikosi kwa kuweka nje nyota wake wote wapya ww kimataifa huku wakianza wachezaji wenye viawango...
  5. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe apelekwa Kamati ya Maadili ya TFF, anatuhumiwa kwa uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira

    Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya...
  6. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

    Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus. Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na...
  7. JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na TFF walamba fidia ya jezi feki. Azam walitoa oda jezi zao feki zichomwe moto

    Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini. Wanahabari walikurupushwa usiku wakati wa ukamataji makontena hayo huku Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe akiwa mstari wa mbele...
  8. JamiiForums Tanzania TFF mnasubiri nini, haya makosa ya kibinadamu hutokea tu Simba wanapocheza?

    I salute you kinsmen Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..! Kama umefuatilia hii ni mechi...
  9. JamiiForums Tanzania TFF wanatakiwa kumpa Job tuzo yake mapema

    I salute kinsmen Kwa sasa Africa mashariki na kati na pengine Africa nzima inaeleweka wazi hakuna beki wa kati kumzidi kitasa Dickson Job! Huyu kijana ana uwezo mkubwa sana Composure ya hali ya juu Passing ability ya kuwazidi hata viungo wote pale simba Marking ya hali ya juu sana, Kama...
  10. JamiiForums Tanzania TFF rasmi imethibitisha Abdihamid Moallin kuwa kocha msaidizi namba mbili wa Yanga

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa klabu ya Yanga imekamilisha taratibu zote za kumtumia Abdihamid Moallin kama kocha msaidizi namba mbili wa kikosi chao ambapo ameanza kutambuliwa kikanuni katika mchezo wa leo Desemba 29 dhidi ya Fountain Gate. Vilevile Kamati ya...
  11. JamiiForums Tanzania TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda. TFF badala ya kuchukuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Aliyefungiwa na TFF adai hawakufuata utaratibu, kuendelea na majukumu yake

    "Hatua ninazozichukua, kesho nakaa na kamati yangu naendelea na uchaguzi kwa sababu vitu viende kwenye urasmi, hakukuwa na sababu yoyote ya mimi kushatakiwa na kamati ya maadili na hawakufuata utaratibu" "Kama hawakufuata utaratibu maana yake sio sahihi, kesho nakaa na kamati yangu tunaendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  14. JamiiForums Tanzania TFF na Uongozi wa Yanga hili suala mbona mmelikalia kimya? Tunafunika Bakuli mwanaharam apite

    Hili suala toka Azam waliweke wazi tunaona kilichotokea. Yanga waliona wamevuliwa nguo wakasusa na Uwanja wa Azam kwa hasira. lakini Si Viongozi wa Yanga wala wa TFF ambao wamewahi kulizungumzia hili hata kukanusha. Nilitegemea kwa uzito wa hili jambo la wachezaji kujidunga TFF au Yanga...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kukuza soka la Tanzania TFF rudisheni mashindano ya mikoa

    Ukiangalia soka letu la leo kweli vijana wanaonyesha uwezo mkubwa ila naamini wapo wengi zaidi ila wanakosa nafasi ya kuonekana, mashindano ya mikoa yalisaidia sana vijana wengi kuonyesha vipaji vyao, Leo timu nyingi za ligi kuu zinaingia gharama kubwa kusajili wachezaji kutoka nchi mbalimbali...
  16. JamiiForums Tanzania TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba. Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu uhuni?ndo maana jerseys zao mbaya....sijapendq kabisa wao kutuoneshea kuwa sisi tunajidunga madawa.
  17. JamiiForums Tanzania TFF yakanusha kuhusu Tanzania kuwa hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kusikitishwa na taarifa zinazozagaa mitandaoni kuhusu uhalali wa mchezaji Muhamed Ame kuchezea Timu ya Taifa (Taifa Stars). TFF imefafanua kuwa Ame ni miongoni mwa wachezaji 23 walioorodheshwa rasmi kwa mechi dhidi ya Guinea, na alikaguliwa...
  18. JamiiForums Tanzania TFF mulikeni refa wa jana hafai kuchezesha mechi za yanga hakuficha mapenzi yake kwa yanga hadharani!

    Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  20. JamiiForums Tanzania Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…