tff tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Vivienne sio Mtanzania: tuwe na tabia ya kuheshimu mipaka ya Utaifa na Jitihada za wengine

    Kumekuwa na wimbi jipya katika mitandao ya kijamii wiki hii, likimhusisha binti mahiri wa soka, Vivienne Theresa Upendo Lia, ambaye baadhi ya Watanzania wameanza kudai ni “Mtanzania” kwa sababu tu jina lake lina sauti ya Kiafrika ama kibantu. Lakini ukweli ni tofauti kabisa. Vivienne ni...
  2. N

    Barua Kwa FIFA

    Ngurumbizi Dudumizi P.O. Box 1920 Iringa, Tanzania 13 August 2025 Head of Integrity & Compliance Fédération Internationale de Football Association (FIFA) FIFA-Strasse 20 8044 Zürich, Switzerland Subject: Grievance regarding Young Africans SC pledge of TZS 100 million to a political party...
  3. P

    TFF na bodi ya ligi,ushauri wa bure kuelekea mechi ya dabi 15 June 2025

    Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake! Ukweli ni kwamba yanga Wana lao jambo,suala la...
  4. DuaZaMama

    Waamuzi wa kike miezi miwili bila stahiki zao TFF wanahusika

    Wadau Inasemekana waamuzi wa kike wanaochezesha ligi ya wanawake hawajalipwa stahiki zao kwa zaidi ya misimu miwili mfululizo. Inasemekana wakikumbushia wanaambiwa pesa zinatumika kusafirisha wachezaji wa timu kubwa ya wanaume…..swali je timu ya wakubwa haina mdhamini? Kama mdau wa soka...
  5. GENTAMYCINE

    Haji Manara kuingiza masuala ya mpira wakati anazindua taasisi yake ya Haji Manara Foundation si kitendo cha kiungwana

    Kama ulikuwa unataka Kumsema Rais wa TFF Wallace Karia kutokana na Chuki zako Binafsi basi ungetafuta right platform ya Kumsema lakini siyo wakati wa Uzinduzi wa Mfuko wako wa Haji Manara Foundation unaacha kutuambia Malengo yako na unatumia muda mwingi Kumzungumzia Karia na TFF.
  6. Luis 505

    AFCON 2027: Naona kama kuna aibu kubwa inakuja mbele yetu kwa "international community" miaka 2 ijayo

    Wakuu, mbona naona kama kuna aibu kubwa inakuja kuchafua taswira ya Tanzania katika mashindano ya AFCON 2027?? Mtiririko wa matukio ya hivi karibuni ya kimichezo hususan soka pamoja na kukosa seriousness kwa viongozi wa mchezo husika, kunanipa wasiwasi sana wakuu.
  7. A

    Viongozi wa TFF na bodi ya ligi wawe wajiuzulu kwa kushindwa kutafuta suluhu ya sintofahamu ya dabi ya Kariakoo

    Ukweli ni kwamba, kwa nchi ambayo viongozi wake wanawajibika ilitakiwa mpaka mchana wa leo viongozi wa TFF na bodi ya ligi wawe wamejiuzulu kwa kushindwa kutafuta suluhu ya sintofahamu ya jana. Kuna wakati unajiuliza hivi hawa viongozi wa mpira ikitokea wamepewa madaraka makubwa na ghafla...
  8. Mstahiki Mea

    TFF tafuteni kocha mwenye CV kubwa

    Tuna malengo gani na timu ya taifa? Hivi karibuni tunaenda kukiwasha Afcon kwanini TFF wasitafute kocha aliyewahi kufikisha timu ya taifa yoyote katika hatua ya robo fainali ? Au tunaenda kurudi tena na alama 1 na kumaliza wa mwisho kwenye kundi? .tafakari chukua hatua
  9. G

    TFF wamtafute shabiki aliyemrushia refa msaidizi chupa ya maji

    Katika mechi ya jana ya Yanga vs Tabora utd kuna shabiki alimrushia refa msaidizi (kibendera) chupa ya maji na kumfikia mgongoni, hii ilitokea baada ya refa huyo kunyoosha bendera kuashiria kuwa goli la Dube ni offside, na camera zilionyesha wazi ni wapi chupa imetoka hivo wanaweza kuifatilia...
  10. USSR

    Rais Samia unaona sahihi mechi za soka za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za kulipia, uzalendo uko wapi?

    Kenya match zote za timu za taifa honeshwa bure, Uganda match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure. Rwanda , Burundi na nk match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure Tanzania hakuna kitu ni utapeli wa kizalendo Soma Pia: DR Congo VS Tanzania |...
  11. Nehemia Kilave

    Ingawa "Common sense is not so common " Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo , TFF na GSM mjitazame katika hili

    Ligi zote duniani huwa zinaendeshwa kwa sheria na taaribu ambazo zimejiwekea hasa ikija upande wa wadhamini wa Timu . Ligi nyingi mdhamini mmoja hawezi kuwa mdhamini mkuu wa timu zaidi ya moja kwenye ligi na mara nyingi unakuta mdhamini anaedhamini timu zaidi ya moja ni upande wa Jezi tu au...
  12. D

    Watanzania tusidanganyane ni muda wa karia to go

    I wll be short 1. KALIA NDO ANA SUPPORT KUPANGA MATOKEO, HOW? officials wa mechi zote wanapangwa na genge lake. KUPANGA BAADHI ya mechi. nani ashinde nani asishinde. every thing is planned. ie : yanga watapewa Azam fc wakitaka tu kwenda nusu fainali. au robo fainali. kama last season. kama...
  13. JanguKamaJangu

    Hatima juu ya pingamizi TFF dhidi ya Kocha Katabazi kutolewa Septemba 20, 2024

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo, Septemba 11, 2024 imesikiliza pingamizi lililowekwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limeiomba Mahakama kuiondoa kesi hiyo kwa sababu Katiba za TFF, CAF na FIFA zinazuia masuala ya mpira kupelekwa Mahakamani. Kesi hiyo Namba...
  14. DELETED ACCOUNT

    Wallace Karia ndiye kiongozi wa muda wote wa mpira nchini mwenye mafanikio bora zaidi

    Embu tuwe wakweli kidogo, jumuisha Marais wote wa Nchi, Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu wa Wizara, Marais na Wenyeviti wa TFF na FAT, hakuna hata mmoja ukichukua mafanikio ya mpira nchini katika kipindi chake ambaye anamfikia Wallace Karia. Sikubaliani na kila anachofanya au...
  15. Mhafidhina07

    Ubovu wa Taifa stars wakulaumiwa ni TFF

    Nimeona AFRICON iliyopita jamaa AMROACH alitumia approach nzuri ya kukusanya wachezaji kutoka kila kona ya dunia lengo ni kuipa nguvu na heshima bendera ya Tanzania kwenye sekta ya michezo ila naona kuna ujinga/ufinyu wa bajeti ikatufanya tubaki na benchi la ufundi la Simba ikisheheni wachezaji...
  16. Pdidy

    Mnataka kupunguza wachezaji wa kigeni wakati wanang'arisha ligi yetu, mna shida ya Afya ya Akili

    Nasikiliza redio moja nashangaa sana wachambuzi wa kuheshimika hawajui madhara ya wanayoongea. Eti wachezaji wa kigeni wapungue. Wapungue waende wapi? Bila wa kigeni leo hii ligi yetu isingekuwa na ubora. Timu zetu zisingekuwa za ubora. Au mnataka uwanjani waende ndugu zenu. Katafuteni dawa za...
  17. Labani og

    Taifa stars Yanga waitwa 7 Simba wachezaji wa 3

    Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025). Ally Salim(Simba SC) GK Aboutwalb Mshery (Yanga) GK Yona Amos (Pamba SC) GK Lusajo Mwaikenda (Azam FC) Nathaniel Chilambo...
  18. Wakusoma 12

    Hivi VAR itaanza lini kutumika kwenye Ligi kuu ya NBC 2024/2025? Maana kumekuwa kimya na ligi imeshaanza

    Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado? Uzi tayari. Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa...
  19. Roving Journalist

    TFF yaiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuiondoa kesi ya Liston Katabazi Mahakamani

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuiondoa Mahakamani kesi ya Madai Namba 14708 ya 2024 iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi ambaye anaidai fidia ya Shilingi 700,000,000 kutokana na TFF kuchapisha taarifa ya kufungiwa maisha...
  20. Black Butterfly

    TFF kuilipa kampuni ya Romario Sports 2010 Limited Tsh. Milioni 843 za Deni na Fidia

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefikia makubaliano nje ya mahakama katika shauri la madai lililokuwa limefunguliwa na kampuni ya Romario Sports 2010 Limited, kwa kuilipa kampuni hiyo deni pamoja na fidia. Kulingana na hukumu ya makubaliano (consent judgement) iliyotolewa na Jaji Isaya...
Back
Top Bottom