tende

Tende (Italian, Occitan and Royasc: Tenda) is a commune in the Alpes-Maritimes department in southeastern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Sheikh Matimbwi hizo Tende za Msaada umezibinafsisha unakula wewe na familia yako tu. Huo ni Ukorofi

    Hili tatizo la ulafi litaisha lini? Tende zimetolewa msaada toka Uarabuni. Sisi hizi ndo zinatufanya tutembee tukisema tumefunga ili tuje zipata. Wewe unakula tende na wake zako na watoto. Unanywea chai, unalia ugali. Si sawa. Hizo tende walitakiwa wapate watu wote. Zigawiwe msikitini hapo...
  2. B

    Nauza tende

    Karibuni sana wateja mzgo wa tende 10kg utazipata kwa elfu sitini tu (60k). Wateja wa mkoani mnafikiwa pia kwa. Kusafirishiwa mzgo kwa mawasiliano 0612630936 karibuni sanaa.
  3. Wagalatia Vs Serikali Nzima, Wavaa kobazi Vs Wagalatia. Wala tende kila jambo wanaligeuza la kidini

    Miongoni mwa mambo yanayoshangaza ni namna wala tende walivyogeuza jambo la mauaji ya wananchi siku ya maandamano kuwa ni vita dhidi ya wagalatia. Ukisikiliza hotuba za Wagalatia utagundua kuwa wao hawashambulii dini ya mtu, wanashambulia mambo yanayotendwa na serikali nzima, ambayo Mama...
  4. Kwahiyo Waarabu waliona msaada wa kuwapa waislamu wa Africa ni tende na mafuta ya miski?

    Hii ni dharau kubwa Ifike pahali misaada ya namna hiyo ikataliwe! Kule bukinabe jamaa alikataa misaada ya ujenzi wa misikiti akawaambia wajenge shule hospital na viawanda wakauchuna.
  5. Umeshindwa kuacha kula nini?? Binafsi nimeshindwa kuacha Kula idadi kubwa ya Tende licha kujua athari zake.

    Nimejitahidi kuacha sukari na chumvi kwa kiasi fulani ila nimeingia kwenye uraibu wa tende. Kwa siku naweza kula 50. Meno yananiuma ila nikiziona tu roho inanianza. Nimeshindwa kuacha tende. Wewe umeshindwa kuacha kula nini ambacho unajua kabisa hakihitajiki kiliwe kwa wingi kama unavyokila??
  6. Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

    Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu. Tunaenda kwa maandiko hakuna...
  7. Juice ya tende

    Hello Leo bhna nimeamua tujifunze kutengeneza juice ya tende Mahitaji Maziwa Tende Hatua ya kwanza chukua tende zaka kama hivi Kisha anza kutoa mbegu za tende zile zilizopo katikati kama hivi Baada ya hapo nikachukua maziwa mimi nilichemsha kwanza Nikachukua tende na maziwa...
  8. Biashara ya tende Misuli na Makobazi

    Wakuu hivi nikiwaletea tende, misuli na makobazi toka uarabuni na mbele ya duka nitengeneze kijiwe cha kahawa na mijadala ya mpira na vita vya mashariki ya kati si itakuwa poa?
  9. Tende za msaada ni salama?

    Wakati huu wa mfungo. Huwa tunaletewa tende za Msaada toka Arabuni. Vipi kuhusu usalama wake? TBS wazipime tujue ubora wake
  10. Safari hii sijapata Tende za Msaada. Nani kanifinya? Serikali iangalie suala hili

    Nadhani kuna wahuni wanatufinya sisi wengine hizi tende za msaada. Safari hii sheikh wangu J. Topeo anasema hakupata. Ni kweli au naye ananifinyia kwa ndani? Serikali iingilie kati suala hili kwa kweli. Maana ni kama imetuacha wananchi wake. Tende ziingizwe nchini bure kwa wingi.
  11. Pemba: Tani 4 za tende na tani 20 za Mchele usiofaa kwa matumizi ya Binadamu vyateketezwa

    TANI 20 za mchele mbovu pamoja na tende tani 4.1 zimeteketezwa katika shehia ya Pujini Wilaya ya Chake Chake baada ya kuonekana bidhaa hizo hazifai kwa matumizi ya binadamu. Akizungumza baada ya uteketezaji wa bidhaa hizo Mkurugenzi wa Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) Pemba, Nassir Salum Buheti...
  12. Kwanini tende zinahusishwa na Uislamu?

    Tende ni kati ya matunda ninayoyapendelea sana. Nilianza kuyatumia kwa kuvutiwa na ladha yake, sikujali sana faida zake kiafya, na wala sikuwa nikizifahamu. Ni hivi karibuni, tena kupitia nyuzi za humu Jamii Forum, nilifahamu kuwa tende si tunda lenye ladha nzuri tu, bali pia lina faida lukuki...
  13. Je, umewahi kujaribu juisi ya tembele?

    Hivi kwa wale wenye uhitay wa hivi vitu je mmewahi kutumia juisi ya tembele kwa ajili ya nguvu za kiume aisee ni hatari hiyo kitu kama ujajaribu ebu leo nenda kajaribu utakuja niambia pia madhara hakuna kabisa hiyo nichakula
  14. D

    Bakwata, tani 50 ya Tende zilizotolewa kama msaada na Saudi Arabia zimepelekwa wapi?

    Bakwata tende ziko wapi mlizopewa na ubalozi wa Saudia
  15. K

    Yajue maajabu ya tende mwezi mtukufu wa Ramadhan

    Kitaalamu chakula unachokula leo ndio kinaamua hali ya afya yako kwa siku za usoni. Na ni muhimu sana kuzingatia ulaji bora wa chakula na si kula ilimradi umekula. Wataalamu wa lishe wanatuambia kuwa ulaji unaofaa hutokana na kula chakula mchanganyiko kulingana na wakati. Lakini hata ulaji huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…