tel aviv

Tel Aviv-Yafo (Hebrew: תֵּל אָבִיב-יָפוֹ, romanized: Tēl ʾĀvīv-Yāfō, IPA: [tel aˈviv jaˈfo]; Arabic: تَلّ أَبِيب – يَافَا, romanized: Tall ʾAbīb-Yāfā), usually referred to as just Tel Aviv, is the most populous city in the Gush Dan metropolitan area of Israel. Located on the Israeli Mediterranean coastline and with a population of 474,530, it is the economic and technological center of the country and a global high tech hub. If East Jerusalem is considered part of Israel, Tel Aviv is the country's second-most-populous city, after Jerusalem; if not, Tel Aviv is the most populous city, ahead of West Jerusalem.
Tel Aviv is governed by the Tel Aviv-Yafo Municipality, headed by Mayor Ron Huldai, and is home to most of Israel's foreign embassies. It is a beta+ world city and is ranked 57th in the 2022 Global Financial Centres Index. Tel Aviv has the third- or fourth-largest economy and the largest economy per capita in the Middle East. Tel Aviv is ranked the 4th top global startup ecosystem hub. The city currently has the highest cost of living in the world. Tel Aviv receives over 2.5 million international visitors annually. Tel Aviv is home to Tel Aviv University, the largest university in the country with more than 30,000 students.
The city was founded in 1909 by the Yishuv (Jewish residents) and initially given the Hebrew name Ahuzat Bayit (Hebrew: אחוזת בית, lit. 'House Estate' or 'Homestead'), namesake of the Jewish association which established the neighbourhood as a modern housing estate on the outskirts of the ancient port city of Jaffa (Yafo in Hebrew), then part of the Mutasarrifate of Jerusalem within the Ottoman Empire. Its name was changed the following year to Tel Aviv, after the biblical name Tel Abib (lit. "Tell of Spring") adopted by Nahum Sokolow as the title for his Hebrew translation of Theodor Herzl's 1902 novel Altneuland ("Old New Land"). Other Jewish suburbs of Jaffa had been established before Tel Aviv, the oldest among them being Neve Tzedek. Tel Aviv was given township status within the Jaffa Municipality in 1921, and became independent from Jaffa in 1934. Immigration by mostly Jewish refugees meant that the growth of Tel Aviv soon outpaced that of Jaffa, which had a majority Arab population at the time. In 1948, the Israeli Declaration of Independence was proclaimed in the city, with Tel Aviv named as the founding capital of Israel – a function it retained officially until 1950. After the 1947–1949 Palestine war, Tel Aviv began the municipal annexation of parts of Jaffa, fully unified with Jaffa under the name Tel Aviv in April 1950, and was formally renamed to Tel Aviv-Yafo in August 1950.
Tel Aviv's White City, designated a UNESCO World Heritage Site in 2003, comprises the world's largest concentration of International Style buildings, including Bauhaus and other related modernist architectural styles. Popular attractions include Old Jaffa, the Eretz Israel Museum, the Museum of Art, Yarkon Park, and the city's promenade and beach.

View More On Wikipedia.org
  1. gallow bird

    Israel yaiomba ruhusa Marekani iishambulie Iran, URUSI yaondoa wanadiplomasia Tel Aviv

    Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika...
  2. Webabu

    Meli ya tatu yazamishwa na Houth sambamba na kuipiga Israel makombora mawili yaliyotua shabaha yake Tel Aviv na Jerusalem

    Meli moja kubwa ya mizigo ikielekea Israel kupitia Red Sea imepigwa kwa njia tofauti kulazimsiha mabaharia wote kujiokoa wakiicha meli hiyo ikiwaka na kunywa maji. Njia zilizotumika ni kutumia droni za baharini ambapo mbili zilifanikiwa kuigonga meli hiyo wakati moja iliwahi kuharibiwa na...
  3. Sir John Deere

    Iran yamuua Mkuu wa Mossad "David Barnea" katika shambulizi la Bomu chini ya handaki la hospitali huko Tel Aviv

    Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran. Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai. Vyombo...
  4. S

    Taasisi ya sayansi na ya kijeshi yalipuliwa Tel aviv

    Taasisi ya sayansi inayoshirikiana na Jeshi ambalo pia ina mafungamano na shirika la ujasusi la Mossad Weizzman institute of science ambayo imejikita kwenye utafiti ,utengenezaji wa silaha, Artificial intelligence nk imeshambuliwa na kuteketea
  5. Sir John Deere

    Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

    Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi. Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio. Tuombe amani Hali ni tete.
  6. O

    Je, Tunajifunza nini kutoka Tel Aviv? Uwepo wa kambi za kijeshi katika mji wenye idadi kubwa ya watu

    Usiku wa jana umethibitisha tena kile ambacho wachache wamekuwa wakikisema kwa sauti ya chini: Israel huweka kambi zake za kijeshi kama Kambi ya Rabin katikati ya maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu ndani ya jiji la Tel Aviv. Cha kushangaza, hakuna mjadala wa kitaifa kuhusu kuhamishwa kwa...
  7. 5

    Nilienda mafichoni zaidi ya mara 5 wakati Iran inashambulia Tel Aviv - Balozi wa US nchini Israel

    Ndivyo ilivyo kuwa wakati Iran inaijibu Israel usiku wa kuamkia Jumamosi
  8. Webabu

    Hamas waipongeza Iran kwa kujibu mapigo ya Israel kwa ufanisi. Yasema hakuna iron dome wala David Sling zilizoilinda Tel aviv na Jerusalem

    Mmoja ya viongozi wa Hamas , Izzat al-Risheq amesema majibu ya Iran yameonesha kuwa hakuna kiburi cha Israel ambacho hakitapatiwa majibu na kwamba vifaa vyake vya ulinzi kama Iron dome havitaweza kuliokoa taifa hilo dhalimu kutokana na moto waliouwasha kwa muda mrefu ndani ya mashariki ya kati.
  9. K

    Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  10. The redemeer

    Mji wa Tel Aviv kuibuka toka jangwani 1909 hadi kuwa jiji

    Aprili 11, 1909: Karibu familia 66 za Kiyahudi zilikusanyika kwenye matuta ya mchanga kaskazini mwa Yaffa ili kushiriki katika kugawanya shamba la ekari 12-tukio ambalo liliashiria kuanzishwa kwa kile ambacho baadaye kingekuwa mji wa Tel Aviv, Israeli . Wengi hawajui kuwa sehemu kubwa ya nchi...
  11. Echolima1

    Mwarabu mmoja Amtemea mate Mwanajeshi wa kike huko Tel Aviv Israel

    Raia mmoja wa Israel mwenye asili ya kiarabu leo akiwa kwenye usafiri wa Umma wakati anashuka alimtemea mate Mwanajeshi wa jeshi la Israel IDF kisha kukimbia tukio hilo lilinaswa na kamera za cctv zilizomo kwenye basi hilo. Juhudi za kumtafuta zinaendelea baada ya wataalamu wa Forensic-lab...
  12. U

    Waasi wa kihusi wa Yemen waishambulia Kwa makombora mazito ya masafa marefu maji ya Jerusalem na Tel Aviv

    Wadau hamjamboni nyote? Hali ni mbaya Kwa Mayahudi tuwaombee sana IDF walidhani kupiga airport na kuharibu kiwanda cha mbolea wamemaliza kila kitu kumbe wenzao ni wajuzi zaidi yao Suluhu pekee ni ayahudi kuwarejeshea Wapalestina ardhi yao tukufu na kuondoa haraka majeshi yao huko Lebanon na...
  13. Sun Zu

    Hamas warusha makombora kulenga Tel Aviv

    #gaza: Kundi la Wanamgambo wa Hamas limefyetua maroketi kuulenga mji wa Israel wa Tel Aviv ikiwa ni hatua yake ya kwanza ya kijeshi tangu Israel ilipoanza kuushambulia tena Ukanda wa Gaza baada ya kuvunjika kwa mkataba wa kusitisha vita. Jeshi la Israel limesema limedungua roketi moja na...
  14. U

    Magaidi wa Hamas waanza kujibu mapigo kwa kuitandika Tel Aviv kwa mashambulizi makali ya roketi

    Wadau hamjamboni nyote? Magaidi wa Hamas waanza kuishambulia Israel kwa maroketi wakijibu uchokozi na uonevu wa mayahudi Huko tel Aviv Hali ni mbaya na hakukaliki Mungu wao yupo pamoja nao ataendelea kuwapigania Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Hamas swiftly claims responsibility...
  15. U

    Mabasi matatu yaliyojaa mabomu yalipuka kwa wakati mmoja Tel Aviv, yalikuwa matupu na yamelipuka kabla ya wakati

    Wadau hamjamboni nyote? Mabasi matatu yalilipuka katika mji wa Bat Yam, kusini mwa Tel Aviv, katika tukio linaloshukiwa kuwa la kigaidi. Polisi wa Israeli waliofika katika tukio hilo wameeleza kuwa kuna vifaa vilivyokuwa kwenye mabasi mawili havikulipuka. Waziri wa Usafiri, Miri Regev...
  16. Ritz

    Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion Waisrael wakikimbia makombora ya Yemen

    Wanaukimbi. Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza. =============== Video shows the...
  17. Ritz

    Yemen iliwaonya kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama kabisa

    Wanaukumbi. Yemen warned the settlers that Tel Aviv has been designated as an unsafe area and will be targeted by the Yemeni Armed Forces, they didn’t listen🤷🏻‍♂️ ========================= Yemen iliwaonya walowezi hao kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama na lingelengwa na...
  18. M

    Tel Aviv: Israel yaendelea na mashambulizi nchini syria

    Jeshi la Anga la Israel, Israel Air Force(IAF) linafanya mashambulizi ya anga mbalimbali nchini Syria,hii ni baada ya Serikali ya rais Bashar Al Assad wa Syria kuangushwa na Waasi wa Hayat Tahirir Al-Sham(HTS) ambao wanaungwa mkono na nchi ya Uturuki. Israel inasema kwamba,mashambulizi hayo...
  19. kimsboy

    Telaviv imeanza kuwa Gaza Taratibu

    Jamaa wamerusha makombora ya ballistic cheki jengo refu lilivyoharibiwa vibaya Telaviv imeanza kuwa Gaza Taratibu wakuu hii sio poa wanangu taifa teule linasagiwa kunguni kiasi hiki[emoji1313]
  20. Ritz

    Makombora yatua Tel Aviv

    Wanaukumbi, Mwanamke mmoja ameuawa na watu wengine kadhaa kujeruhiwa katika mashambulizi ya roketi yaliyofanywa na Hezbollah Jumatatu, baada ya kundi hilo la kigaidi kurusha zaidi ya roketi 100 kaskazini mwa Israeli Mwanamke aliyeuawa ametambuliwa kuwa Safaa Awad, mwenye umri wa miaka 41...
Back
Top Bottom