teknolojia tehama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    Sasa itakuwa ngumu mtu kufanya activation ya Windows offline

    Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline 🫵, sasa itakua haiwezekani tena. Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory), Ambapo Kampuni ya Microsoft imeua mfumo wa watu kutumia njia ya local (bila kuwa na akaunti ya...
  2. McLaren

    BoT wakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu usalama wa mifumo ya malipo na akaunti za amana. Mifumo ipo salama

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mtandaoni zinazoeleza kuwa benki za biashara nchini zimepata au zinatarajiwa kupata shambulio la kimtandao litakalosababisha upotevu wa fedha za wateja na kusababisha hitilafu katika mifumo ya kibenki. Katika taarifa yake kwa umma...
  3. Rorscharch

    Nimeamini Teknolojia yoyote ikiwa imeendelea sana na ikakosekana njia rahisi ya kuilezea jinsi ifanyavyo kazi kwa mtazamaji haina tofauti na uchawi

    Utasikia wabongo vijiweni "Mzungu Mchawi sana", hii kauli sio kwamba limepatikana tunguli la Muingereza au Mjerumani la hasha bali vifaa vya kila siku vya kielektroniki; hivi. Kuna anayetambua kuwa hizi simu tunazotumia kuingia JamiiForums zimetengenezwa kwa kutumia mchanga, yaani motherboard...
  4. X

    SoC04 Tusilazimishe matumizi ya TEHAMA pekee kama miundombinu bado, TEHAMA bila miundombinu toshelevu ni kero kubwa kwa wananchi

    UTANGULIZI Miaka ya karibuni kumekuwa na kampeni na kiu kubwa ya wananchi, Serikali na Sekta binafsi kutumia TEHAMA kama njia kuu ya kuwezesha huduma kirahisi na kwa haraka, ila changamoto kubwa ni kwamba bado miundombinu wezeshi ya TEHAMA nchini Tanzania hususan maeneo mengi ya vijijini sio...
Back
Top Bottom