Google Iko kwenye mpango mzuri wa kuweza kuruhusu watumiaji wa akaunti za Gmail (Google Account) kubadilisha username za email zao Kwa urahisi.
Mfumo huo utaanza kufanya kazi kuanzia mwaka 2026 japo Kwa sasa umeanza nchini India ambapo wataweza kurekebisha email zao kwa urahisi tuchukulie barua...
Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini 🙂.
Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
Kama unatumia simu ya android Kuna feature mpya inakuja upande wa phone ambapo Google wametambulisha kinaitwa "Urgent calling" kwenye Simu za Android.
Kupitia skrini ya kupiga simu utaweza kuona feature mpya ya Call Reason - Mark as Urgent inakupa nafasi ya kumjulisha / kumwambia Mtu...
Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone.
Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.
App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
Ulinzi kwenye maisha ni kitu muhimu sana ndo maana hata kwenye masuala ya Imani tunaambiwa tusome nyiradi Mbalimbali ili kuweka ulinzi kwenye nyumba na mwili wako maana mambo ya kutisha na kuogopesha kwenye huu ulimwengu ni vitu ambavyo reality.
Sasa leo nakuletea silaha ambayo inatumiwa...
Inawezekana umeshtuka kidogo 👋, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025.
Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025...
Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote.
Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni hatarishi upelekea usalama wako kuwa mdogo pamoja na faragha kwa ujumla.
Hakikisha unazingatia mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.