tcra kufungia media

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    Maoni ya Pascal Mayala kuhusu Mwigulu yawaamsha TCRA, Jambo TV yalimwa barua ya onyo kali, kuwa chini ya uangalizi kwa Miezi 6

    Anaandika Aloyce Nyanda: Pole mkurugunzi wa jambo Tv online ndugu John Marwa kuwa Makini zaidi huu ni mtego wa mwisho Taarifa nilizopata toka vyanzo vyangu leo tarehe 5 ni kwamba kamati ya muudhui ya TCRA imewapa ONYO KALI JAMBO TV, kwa mujibu wa Kanuni ya 21 (2) (3) (a) ya Kanuni za maudhui...
  2. McLaren

    Content Creators chipukizi mbioni kuruhusiwa kutengeneza maudhui mtandaoni kwa mwaka mmoja bila ada

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni kwenye kwenye mkutano Mkuu wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji (ABC) Meneja wa Huduma za Utangazaji (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa wamependekeza mfumo mpya ambao watengeneza maudhui mtandaoni wataweza kufanya shughuli zao mtandaoni bila kulipa ada...
Back
Top Bottom