JamiiForums Tanzania
TBT
Wapendwa habari zenu.
Leo nimeona niwaletee vi story vyangu na vitakuwa vinapatikana humu kwa mtindo wa picha za zamani na matukio yake.....
1. story namba moja
Hapo chini nakumbuka ilikuwa event moja miaka hiyo!!!!
Mimi nilibahatika kupata kazi nikiwa mdogo sana huku sina uzoefu wa aina...