Dah! Kwa kweli majirani mambo yao mengi yataanza kubadilika, huyu mama amedhamiria kurekebisha mengi tu..... NI dhahiri kwa serikali ya huyu mama MATAGA watakosa ajira maana hamna fursa ya chuki tena, hata kwa wale huwa wamewekwa humu wakeshe wakiikandia Kenya watapata tabu sana.
Haya...