Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Tarime Vijijini, mkoani Mara, Mwita Waitara leo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge kwa mara nyingine katika jimbo hilo.
Amesema anaamini ataungwa mkono na wananchi wa jimbo lake kutokana na namna alivyowatumikia
Wakati zoezi la uchukuaji wa fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa makada wa Chama cha Mapinduzi likifika siku ya pili Kada wa Chama cha Mapinduzi Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu katika Ofsi za...
Ninachowakubalia Wakurya ni wananchi wasema ukweli ni wawazi. Hakuna kabila lenye upendo kama Wakurya na wachache tunawaelewa vibaya. Ni wananchi waungwana sana. Ninachokiona kwenye Jimbo la Tarime Vijijini ni vema Mhe. Waitara anze kufunga virago.
Wamemueleza waziwazi mbele yake kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.