tanzia ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    GE2025 Kama uchaguzi ungekuwa Dec2021 Ulikuwa na uwezo wa kupata hata zaidi ya kura 60% za haki kabisa, leo ndani ya chama chako bila ya kujiteua usingetoboa

    Unatafuta nani wa kumlaumu ni wewe mwenyewe. Ni moja ya kiongozi uliingia madarakani ukiwa unapendwa na sifa kedekede, ila baadae ukituona mafala na kutuzunguka. Imekucost wewe,legacy yako, chama chako, familia yako na kila kitu chako. Wewe ni mmama na umezaa ila serikali yako ilivyohandle...
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    GE2025 MKOLONI HANA RANGI Episode 2: Miaka 4 Ya Samia vs Miaka 4 Ya Richard Turnbull

    RICHARD TURNBULL UWEKEZAJI KWENYE MATUMIZI YA AKILI UINUAJI WA HAKI NA SIASA ZA KUJITEGEMEA KUHAKIKISHA RASILIMALI ZINANUFAISHA NCHI PIA KUIMALISHA MFUMO BORA WA ELIMU NA AFYA KUIMALISHA NA UTUNZAJI MZURI WA RELI WA BARABARA BANDARI YA TANGA NA DAR ES SALAAM ZILIBORESHWA ZAIDI KWA KUJALI UKUAJI...
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    Miaka minne ya Sir Richard Gordon Turnbull: Utamkumbuka kwalipi huyu ndugu yetu

    1958 to 1961: British governor December 9, 1961 to December 9, 1962: first and only governor-general Mtanisamehe nimechomekea kizungu hapo juu kidogo
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    Kumbe hadi wasanii nao wamechoka, ila ushauri wa bure msijiachie kwenye hayo magroup kuna mamluki kibao

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727 Tanzania bara 88,365 Zanzibar 8,362 Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262. Wanufaika zaidi na mfumo hawazidi 100 (0.113%) Tanzia Mkoloni
  5. Mashamba Makubwa Nalima

    Watu wa sheria naomba mnisaidie kwenye hili: Muuaji na mwizi akikimbia Bara akakimbilia Kisiwani, mnaweza kumrudisha, au hakuna huo utaratibu?

    Nilikuwa nauliza hivyo tujue utaratibu uko vipi. Kuna mtu tumekuwa tukimuhusisha na muuaji ya ndugu zetu pamoja na utopeaji wa hela tunazichanga kila siku. Ila kuna tetesi anataka kukimbia nchi, sasa nawaza akikimbiilia hapo visiwani anaweza kurudishwa huku bara au hilo haliwezekani
  6. Mashamba Makubwa Nalima

    GE2025 Asante CHADEMA kwa kutupa uchaguzi bora tokea nchi ipate uhuru, asante kwa kumchagua Lissu na Heche. Tunakula matunda leo

    Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi. Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA Nitaendelea
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Poleni na Kifo cha CCM, ila mimi sijalia

    Poleni na kifo ila mimi sijalia. Nalia na ndugu wa Ali kibao, nalia na ndugu wa Mdude, nalia na wamama hospitali wanapambania afya zao na za watoto wao, nalia na watanzania wanapambana usiku na mchana ila wanakutana na kodi za ajabu kwenye kila kitu. Nalia na waTanzania walio na wanaouawa...
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    Tumlaumu nani kifo cha CCM: Wazee wa chama, marais au ubinafsishaji mkubwa wa nchi kwa chama?

    Ningependa kujua nini maoni yakeo juu ya kifo cha hiki chama cha kisiasa hapa Tanzania. Unahisi nini kimepelekea kifo chake na je unahisi walikitegemea tayari na walishaanzisha vyama vya kukumbilia baada ya hiki KIFO au wataamua kubadilisha falsafa ya chama ili kujaribu kurudi kwa wananchi miaka...
Back
Top Bottom