tanzania vs morocco

Tanzania–Turkey relations are the foreign relations between Tanzania and Turkey. The Turkish embassy in Dar es Salaam first opened in 1979, although the Ottoman Empire had previously opened a consulate in Zanzibar, now a part of Tanzania, on March 17, 1837.

View More On Wikipedia.org
  1. PureView zeiss

    Somo la HAKI na AMANI kwenye mchezo wa TANZANIA Vs MOROCCO

    TWISEHENI YA HAKI NA AMANI. Hapa Mungu ametupitisha sote katika kujifunza Umuhimu wa Haki katika jamii.Taifa stars wamenyimwa Haki ili kulinda Amani na Utulivu wa Wamoroco. Nimefurahi somo hili gumu lakini limekuja kwa wakati sahihi . Nimeona hata wale wanao himiza Amani katika hili wanadai...
  2. Tembosa

    FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

    Mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco katika hatua ya 16 Bora ya AFCON 2025 unapigwa leo Januari 4, 2026, katika Uwanja wa Prince Moulay Abdellah, Rabat, Morocco. Huu ni mchezo wa kihistoria kwa Taifa Stars ambao kwa mara ya kwanza wamefanikiwa kufika hatua ya mtoano katika michuano ya Kombe la...
  3. S

    Mambo 10 Niliyoyaona Tanzania Ikiondolewa na Wydad, RS Berkane na Raja Casablanca michuano ya CHAN

    1. Sina wa kumlaumu kwa sababu mwenyezi Mungu asingekubali 'mitume' idhalilike kwa rangi nyeusi. 2.Sina wa kumlaumu mpira mwingi umepigwa na Stars leo isipokuwa rangi ya 'mitume' nuksi 3.Sina wa kumlaumu ila naomba kipa Yakubu Selemani apewe gari hivyo hivyo hata kama ameruhusu goli 4.Sina wa...
  4. S

    Mechi itakuwa ngumu leo lakini inshaallah Mungu atajalia tu

    Tunakuomba mnyazi Mungu, ulisema atakayekuomba utampa, mimi mtanzania nakuomba utujaalie ushindi leo dhidi ya Morocco ili tuingie nusu fainali. Kila jambo tumelifannya kwa ajili ya nchi leo, tuongeze dua watanzania, dua ya mwisho ni kuujaza uwanja wote ili mipango yetu iweze kufanikiwa zaidi...
  5. A

    Tanzania imepewa red cards mara tatu kati ya mechi tano ilizocheza na Morrocco

    "Morrocco have influence in CAF to manipulate the match scheduling and officiating" Hayo ni maneno yaliyotamkwa na aliyekuwa kocha wa Tanzania Adel Amrouache baada ya mchezo kati ya Morrocco na Tanzania tarehe 17/01/2024 Tanzania amekuwa hana record nzuri anapokuwa akikutana na Morocco kwani...
  6. kiwatengu

    CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

    CHAN 2024 – Robo Fainali 🇹🇿 Tanzania vs Morocco 🇲🇦 📍 Uwanja wa Mkapa, Dar ⏰ Saa 2 Usiku Tanzania kwa mara ya kwanza tumefika robo fainali ya CHAN. Morocco ni mabingwa mara mbili (2018 & 2020), wana uzoefu mkubwa. Taifa Stars imeruhusu goli 1 pekee hatua ya makundi, lakini Morocco walifunga 8...
Back
Top Bottom