Kwa timu za soka letu la Tanzania, ni nadra sana kukuta timu mbili zote zimefuzu kwenda hatua kubwa za mashindano ya vilabu Afrika.
Kwa waarabu(Morocco,Algeria na Egypt) ni kawaida sana, unakuta USM Alger na MC Alger wapo hatua za robo fainali wote, au nusu fainali.
Egypt unakuta Zamalek, Al...