tanzania amani upendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote

    Hii message na isomeke ulimwenguni wote na ni Ushuhuda binafsi ila miaka ijayo utakuwa wazi. ANGALIZO SOMA MPAKA MWISHO. Hii SEHEM YA 1 Imebeba full picture Generalization. Muunganiko ila sehem zinazofuata zinaelezea kwa kina na undani A,B,Cssss Mm IIT. Niligundua sio tuu kuwa chosen one ila...
  2. Upendo wa Agape kwa Polisi

    Hivi sasa unaambiwa kuwa polisi wanatembelea nyumba kwa nyumba kuwajulia hali wananchi. Pichani: Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Lupakisyo Mwakyusa ametembelea familia ya Mzee Mabile Nunda na Bi. Chambi Licholi wa Kijiji cha Bilulumo, kwa lengo la kuwajulia hali na kusikiliza kwa makini changamoto...
  3. Amkeni! Hili suala la Zanzibar na Tanganyika ni propaganda

    Wakuu, kuna kitu kinaitwa "divide and conquer", yaani "tawanya utawale". Kuna mifano mingi sana, wadau wa historia mna ushahidi. Ukweli ni kwamba, wapo watu wa bara wengi wenye mali na familia Zanzibari, vile vile wapo watu wa Zanzibari wengi wenye mali na familia bara. Infact wapo watu wengi...
  4. R

    GE2025 Zuchu aposti ujumbe wa pole kwa Watanzania, aombea amani

    Msanii wa Muziki wa Bongofleva 'Zuchu' Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuiombea Taifa la Tanzania kuwa nchi yenye amani, umoja na Upendo Jambo ambalo wananchi wengi kwa upande wa Comment section wamechukulia kama dharau wengi wakidai kuwa wasanii wengi walikuwa wakiiunga mkono...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…