tandahimba

Tandahimba is one of the six districts of the Mtwara Region of Tanzania. It is bordered to the east by the Mtwara Rural District, to the south by Mozambique, to the west by the Newala District, and to the north by the Lindi Region.
According to the 2022 Tanzania National Census, the population of the Tandahi
mba District was 299,073.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Kutoridhishwa na wagombea ubunge wa TANDAHIMBA uliofanywa na kamati kuu TAIFA CCM

    Kumetokea sintofahamu kubwa kwenye jimbo la Tandahimba kipindi cha mchakato wa uteuzi wa wagombea ubunge wa CCM.
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Nipo Tandahimba, naona walimu wamekusanyika kwa Mtendaji Kata wanarudisha barua za kusimamia uchaguzi

    Hili kundi bado lipo nyuma sana kifikra. Wapo bize hapa wamejazana kwa Mtendaji Kata warudishe barua za maombi ya kusimamia Uchaguzi Mkuu. Naambiwa leo ndio mwisho, kwanini kada nyingine hazijichoreshi namna hii kama hawa ndugu zetu?
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

    Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa. Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na...
  4. Nipe Maji

    PreGE2025 Serikali imetenga Shilingi Bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa barabara Newala, Tandahimba hadi Masasi

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameamua kuifungua mikoa ya Kusini kiuchumi kwa kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kiuchumi yenye umbali wa...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Tandahimba: Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Maheha kilichogharimu milioni 400

    Baada ya miaka 16 ya kutembea kilomita 40 kutafuta huduma za afya, wananchi wa vijiji vitatu wilayani Tandahimba mkoani Mtwara hatimaye wamepata suluhisho. Kituo cha Afya cha Maheha kilichogharimu shilingi milioni 400 sasa kimeanza kutoa huduma na wananchi wengi hususan wanawake wamejitokeza...
Back
Top Bottom