tamko la tec

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Sisi waislam wenye akili tunaunga mkono tamko la TEC

    Asalam Alyekum.. Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
  2. M

    PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  3. McLaren

    PostGE2025 Sheikh: Tanzania hakuna wanasiasa, tuna wanaotukana matusi. TEC mko wapi wakati wanasiasa wanaongea lugha za matusi?

    Wakuu, Mbona kama hili suala limechukuliwa serious sana na? Sasa TEC wanahusikaje na hoja za wanasiasa? Kosa la TEC ni kukemea mauaji? "Haya yametokea kwa sababu hatuna wanasiasa sasa hivi tuna mitusi tu. Sasa hivi hatuna wanasiasa tuna watu wa kuwatia hasira wananchi badala ya kutoa sera...
  4. Just Pray

    GE2025 Tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani Hali ya nchi juu ya haki ya uhai tunapomkumbuka baba wa taifa 2025

    Askofu Jude Thadeus Ruwa'ichi akizungumza leo Oktoba 14, 2025 katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam ametoa tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani kuhusu uchaguzi mkuu 2025 na...
  5. Kifurukutu

    Athari mbaya 5 za tamko la TEC kuhusu siasa siku ya Pasaka

    Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona...
Back
Top Bottom