tairi

In the mythology of Mangareva (French Polynesia), Tairi (Ta'iri) is the god of thunder.

View More On Wikipedia.org
  1. WISE 2012

    Ufanye nini tairi likipasuka (basti)

    Kuna hatua sita za kufuata ndani ya dakika mbili tangu kupasuka tairi ambazo unapaswa kuzifuata. 1. USIHAMAKI wala Kukanyaga Breki, tulia kwanza kwa sababu mara baada ya kupasuka tairi gari lako litaanza kwenda kombo na hivyo utahitajika kulimudu. 2. KAMATA USUKANI Kwa nguvu kwa mikono yote...
  2. E

    Natafuta tairi ya baiskeli na tube zake, liwe na inchi 28

    Natafuta tairi inchi 28 na tube zake nipo Morogoro kama unashughulika nazo comments tumfanye biashara.
  3. Kasomi

    Je, wajua kwanini tairi (magurudumu) zote zina rangi nyeusi! Je kuna tairi zenye rangi tofauti na nyeusi?

    Matairi au magurudumu ni miongoni mwa vifaa muhimu sana ktk vyombo vya usafiri kama baiskeli,pikipiki,gari,ndege na aina mbalimbali za mitambo au mashine nyingi ili kuweka urahisi zaidi ktk kutenda kazi. Ziko aina nyingi za magurudumu au matairi yanayotokana na chuma.mpira au hata mbao...
  4. BuDDaH MBiSHi

    Zijue sababu zinazoathiri matairi ya magari

    TAIRI Ni sehemu ya nje ya guruudumu Sasa sababu zinazo athiri matairi ya magari zinawezakua: Namna ya ujazaji upepo. Unapojaza upepo kwenye matairi in sharti uangalie usijaze kupita kiasi au kupunguza kupita kiasi ambavyo mtengenezaji anataka. Barabara mbovu (Rough road). Unakutaka...
Back
Top Bottom