tabia za watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moto wa volcano

    Binadamu hatufani kitabia kutokana mazingira yanatengeza tabia za watu

    Usitake watu wengine wawe kama ww ulivyo , kila mtu amekulia ktk mazingira yake , ana mapito yake , uzoefu wake , heshimu utofauti wa wengine . Mtu yeyote mgeni kwako mpe muda wa kumsoma tabia yake na kumzoea
  2. Tauceti Rigel

    Kwa Nini Baadhi ya Walevi Hufanikiwa na Wengine Huangamia?: Pombe Ile Ile, Hatima Tofauti

    Makala hii inachambua uhalisia mgumu wa ulevi, ikionyesha kwamba pombe haifanyi kazi sawa kwa kila mtu. Watu wawili wanaweza kunywa pombe ile ile, lakini mmoja aendelee kustawi huku mwingine akiangamia. 1. Ulevi si Lazima Uwe na Kelele Wapo walevi wanaoonekana ‘safi’ kwa nje – wana kazi...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Tamaduni huchochea tabia za watu. Unaposema kabila Fulani linawatu wenye tabia mbaya kama umalaya au roho mbaya. Jiulize; je tamaduni zao zinachochea

    Hamjambo! Imekua desturi kumsikia MTU akisema Kabila Fulani Malaya Sana. Au kabila fulani wachawi Sana. Au kabila Fulani Wana roho mbaya. Kabla ya kutoa hitimisho kuhusu tabia za watu wa jamii Fulani lazima ujiulize Maswali yafuatayo; 1. Je tabia asili yake ni ipi? 2. Je mambo gani huathiri...
  4. Roboti Wa Nape

    Viatu na tabia za watu: We viatu vyako ni vipi?

    Just for 😁😂😀🤣
  5. Mwachiluwi

    Jinsi mazingira yanavyoathiri tabia ya mtu

    Sio mwaandishi mzuri ila nimesoma. Mazingira ni kichocheo kimona wapo cha tabia ya mtu hivyo alivyo ni kutokana na mazingira yamemfanya hawe ivyo alivyo. Kuna watu tunawalaumu watu kuwa wanatabia mbovu ila ni kwamba tabia walizo nazo ni mazingira yamewashape ivyo. Nini nataka kusema just...
Back
Top Bottom