taasisi ya umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  2. CEO JKT Tanzania ameiabisha taasisi ya umma kwa uchawi michezoni, hafai

    Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale. JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya...
  3. Je, inawezekana kuhama kituo cha kazi toka Taasisi ya Umma kwenda Halmashauri?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza, hivi inawezekana kuhama kutoka taasisi ya umma kwenda Halmashauri? If no, why? If yes mchakato wake ukoje? Naomba kuwasilisha. Ahsante
  4. Kumuweka ndugu Kwa upendeleo kwenye Taasisi ya umma unayoiongoza ni kukosa Maadili

    Viongozi wengi wa kiafrika tunapenda sana kubeba ndugu na kuwaketisha viti vya mbele. Mambo ya ukabila,udugu Ili kuzungukwa na watu mnaojuana ni kukosa weledi na kuleta mgongano wa kimaslahi. Ziko namna nyingi za kuwabeba ndugu,sio kwaajiri katika Utumishi wa Umma,kama mnafanya Biashara au...
  5. Haki ya kupata Taarifa ni Haki ya Mtu yeyote kuuliza Taasisi ya Umma ili kupata Taarifa zinazohusu Huduma, Matumizi ya Fedha za Umma

    Haki ya kupata Taarifa iliandikwa kwa mara ya kwanza kwenye Katiba ya Sweden Mwaka 1766. Baadaye ikaletwa Sheria ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuondoa zuio la Kisiasa la kupata nyaraka za Umma Tangu wakati huo, Nchi nyingi zilifuata mfano huo, na mpaka sasa Haki hii inalindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…