taaluma

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA mnawaharibu vijana na uukuzi wao wa kitaaluma kwa kuwadanganya siasa ni taaluma

    Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa vyeti vya taaluma ya udereva

    Habari wadau! Katika mitandao ya kijamii kuna clip inamuonesha Kamanda wa usalama barabarani akiongelea juu ya ukaguzi wa vyeti vya taaluma ya udereva. Nasisitiza hapa amesema MADEREVA WOTE WA MAGARI. Narudia " MADEREVA WOTE WA MAGARI WATEMBEE NA NAKALA ". Hatua kama hiyo italeta taafurani...
  3. JamiiForums Tanzania Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anaweza kuondolewa Bungeni kwenda kulitumikia Taifa sehemu atakayokuwa huru kutumia taaluma yake?

    Dr. Bashiru ni Mbunge wa kuteuliwa ambaye kama walivyo Wabunge 19 wa upinzani ameonyesha kushindwa kabisa kurejesha confidence na taaluma yake ndani ya bunge. Nakubali ndugu yangu huyu alikengeuka akajione next to president but may be hakuwa yeye Bali waliomzunguka. Dr. Bashiru ameshiriki...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwandisya na Mhongo: Msimlaumu Mwanafunzi Kupata PHD jilaumuni Ninyi (Dr and Prof) mlioacha taaluma mkakimbilia siasa kwa makundi makundi

    Siku zote Mwanafunzi anapokwenda darasani ufanya Kwa mujibu wa maelekezo ya walimu na wasimamizi wake, ufanya Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za chuo na ufanya Kwa kuzingatia principles za vyuo husika. Mwanafunzi ajifaulishi anafaulishwa na wanaofaulisha ni wasimamizi wake. Prof Mwandosya na...
  6. JamiiForums Tanzania TCRA: Polepole Tv ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji habari

    "Humphrey Polepole Online Television ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji wa habari, jambo linalowapelekea kukiuka sheria, kanuni, misingi na maadili ya uandishi na utangazaji wa habari katika kazi zao." Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kenya kama kitovu cha TEHAMA Afrika, rais Biden amteua kigogo wa taaluma kuwa balozi Kenya

    Huyu mama alikua mkurungenzi HP na eBay, halafu tena ni bilionea aliyetosheka, ateuliwa kuiwakilisha Marekani nchini Kenya kama balozi...... Teuzi kama hizi hudadavuliwa sana, nani aende wapi, sio kama ambazo tumezoea ambapo mtu anateuliwa kwa uchawa wake..... US President Joe Biden has...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Upotevu wa vyeti vya taaluma

    Habari wana jamii forum naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya bag langu liliibiwa halikuonekana kabisa na lilikua na vitu vinginevyo kama External harddisk GB500...
  9. JamiiForums Tanzania Taaluma za kuheshimika na muhimu ni hizi sita (6) tu

    Si zaidi ya hapo; ni kama ifuatavyo:- 1. Mwalimu Waelimishaji waliohitimu kwa viwango stahiki wanahitajika sana, na ikiwa utahitaji kujenga jamii imara walimu ni kundi muhimu na la lazima. Ili vijana waweze kubadilisha ulimwengu na taifa, basi hii ndiyo taaluma ya muhimu na ya lazima popote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…