suzuki

  1. U

    Suzuki Vitara

    Suzuki Vitara Suzuki has a long history of producing cheap, cheerful and quirky machinery, and Australia has been a happy hunting ground for the small Japanese company. A flood of new products in 2015 and 2016 brought back the Vitara name for the first time in 17 years – albeit in a different...
  2. Car4Sale Suzuki escudo Manual, Engine Ndogo: 5.5mil only

    gari iko poa iko Dar. kwa Taarifa zaidi njoo ukague gari
  3. Car4Sale suzuki swift kwa 3.5m only. DSM

    SUZUKI SWIFT full doc'ments Vibal Gari haigongi Loc:Dar Bei mil: 3.5 Simu - 0678604333
  4. C

    Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Wakuu nataka kuagiza Gari SUV Japan. Katika kuperuzi nimeangukia katika Gari hizo 2 naombeni ushauri wenu Isuzu Bighorn (Diesel 3000cc) vs SUZUKI GRAND ESCUDO (Petrol 2730cc). Nichukue ipi? Ukizingatia barabara off-road na spea Tanzania. Mafuta usihofu nayamudu
  5. Suzuki Grand Vitara: SUV Kiboko ya Mizigo

    Hii Gari Ni cc 1990 tu lakini Ina space kubwa ndani na ni seat 7. Inafaa kwa kazi ngumu. Mpaka ifike Bongo ni 7,000 USD tu. **Kuliko uhangaike na sijui Noah, Alphard mwishowe uonekane Mama Lishe sijui mdangaji chukua Grand Vitara uwe wa kishua
  6. E

    Suzuki Grand Escudo: Ipoje >> Speak, Mafuta?

    Wakuu nimeichek hii nimeona Kama itanifaa kwa ninapoishi kuna makorongo Sana. Vipi Spea zake? **Correction: Speak= Spea
  7. Car4Sale Suzuki escudo manual for sale: 3.2 Million wahi

    SUZUKI ESCUDO gari ipo pouwa Haina shida yeyote Full vibali Full doc'ments Bei mil 3.2 Simu 0683011003
  8. M

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Engine: 1NZ vvti Capacity: 1490cc . Location: Shekilango - Dsm . Call: 0719 143475
  9. Suzuki Jimny 1.3L 2013 Vs Toyota IST 2007

    Habari za muda wakuu, Naomba ushauri juu ya haya magari mawili. Lipi ninunue 1. SUZUKI JIMNY 2013 1.3L, manual transmission. Hii gari ilinunuliwa mpya 0 km, hivyo usajili wake ni no. C. Ilikuwa ni ya shirika moja la kimataifa wao huuza gari likifika miaka 7 au km 70,000 mileage. Hivyo nina...
  10. Hiki Kigari Suzuki Swift nimekiona kina Uongo fulani tofauti na Nyenzie

    Nimetoka Airport nikawa nimeingia mandela road nimekamata hii barabara mpka riverside mbele yangu Kilikuwepo kigari kidogo aina ya Suzuki Swift. Aiseee huyu jama kakiwekea Uongo fulani hiki kigari mpaka nikawa nacheka. Gari inanesa utadhani Range Rover au Prado Mayai ninayoiendesha. Akipunguza...
  11. Car4Sale Suzuki Auto namba C kwa 2.5 mil only

    Jipatie gari hii ndogo ikiwa katika hali nzuri. Full Document Njoo ukague gari na fundi wako. Loc: Zakhem, Dar: 0744033555 Picha zaidi njoo whatsapp
  12. H

    Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    Rejea hiyo Subject hapo juu. Sina nguvu yakununua vipya, hivyo nataka used chenye afya. Natambua na kuheshimu Madalali ila kwenye hili ninahitaji wamiliki. Juzi dalali kaniambia Carry mil3.7. Nikachukua namba za usajili nikaomba Query zakikodi au Customs (If any), huko nikapata namba ya...
  13. Car4Sale Suzuki hii hapa kwa 3.5 mil only

    SUZUKI ARIEL Year made: 2004 Engine power: 1490 cc, Petrol engine Seats: 5 Doors: 4 Mileage: 120,000 Bima ipo mpaka Nov 2021 Kadi yake ipo Location Dar es salaam, Tegeta Bei 3.5 milion Punguzo kidogo kwa mteja serious Piga simu 0744 033 555
  14. Car4Sale Suzuki ariel namba C kwa 4.1 mil full document bima mwaka mzima

    SUZUKI ARIEL Year made: 2004 Engine power: 1490 cc, Petrol engine Seats: 5 Doors: 4 Bima ipo mpaka Nov 2021 Card ya Gari ipo Location Dar es salaam, Tegeta Bei 4.1 milion Punguzo kidogo kwa mteja serious Piga simu 0744 033 555
  15. Car4Sale Suzuki Swift Bx inauzwa bei nafuu

    Habari jf Suzuki swift bx iko sokoni, magomeni Dar Transmission: Automatic Engine; Petrol, cc 1300 Milleage: 110,000kms Year made: 2000 Bei 4 million Piga simu 0744033555
  16. Uwezo wa suzuki carry (kirikuu)

    Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2. Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi? Asanteni
  17. D

    Msaada: Naomba ushauri wa gari Suzuki Jimny

    Suzuki Jimny Wakuu naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa kuhusu hii gari maana binafsi ilichonivutia ni kuwa juu na pia utumiaji wa mafuta sifahamu kuhusu gharama za spare pamoja na uimara wake. Maana mim nahitaji gari ya kuzungukia kwenye shughuli zangu na kwa kuwa ninakofanyia shughuli...
  18. D

    Naomba kujua uwezo wa Suzuki Carry (Minivan)

    Suzuki Carry Habari zenu! Naomba kujulishwa uwezo wa suzuki carry a.k.a kirikuu: 1. Uwezo wa kubeba(maximum weight). 2. Nguvu yake kwenye mchanga,matope,utelezi,miinuko n.k. (pulling). 3. Je inaweza rough roads hasa mikoa isiyokuwa na milima mikali au maeneo yenye miinuko ya wastani. 4...
  19. Naomba maoni yenu kati ya Vitz, Starlet na Suzuki Swift/ Jimmy

    Kama mada inavyojieleza, naomba maoni yenu kutokana na uzoefu wenu kati ya VTZ, STARLET na SUZUKI SWIFT ipi ni kagari imara na affordable kwa mazingira ya barabara mbovu, fuel cosumption, spare parts, durability, masafa marefu pasipo kusumbua
  20. M

    Tunaagiza Pikipiki kubwa za mtumba

    Tupatie maelezo zaidi kuhusu bei,kodi,usafiri tafadhari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…